Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
U seems kukwepa my point. Sizungumzii kupima kwa style yako ambayo ni ya kijinga.Kwa hiyo unataka serikali iwe inazurura mabarabarani kama wehu na kusema tukupime ? Huo ni wehu. Wewe ni daktari au muuguzi unatafuta posho za kuzurura kupima?
Kinachotakiwa elimu na imetolewa kuwa ukiona dalili hizi wahi hospitali inatosha,mtu akiona dalili za corona aende hospitali au apige namba husika wenyewe waje kumbeba
Nazungumzia kupima kwa vituo. Yaan check points kama mipakan hiv. Unakuwa na team ya madkatari wako.stationed kupima kila anae ingia na kutoka. Nazungumzia checkpoint za mikoa.. kupima kila anae ingia na kutoka.
Trust me kama kunawa uso na barakoa vingekuwa vinasaidia sana..sana sana.. leo hii nadhani ulaya na baadhi ya mataifa ya afrika yangeongoza kwa kutokomeza huu ugonjwa mapema sana..maana walienda mbali zaid.. wakatunga na sheria kabisa na kupuliza madawa.
+ mbinu unazozungumzia ni individual strategy. We need national strategy. Na hapa sizungumzii lockdown.
Sent using Jamii Forums mobile app