Paul Makonda: Watu wanaendekeza Uchawi na Majungu

Wewe Bashite, jibu tuhuma za Tundu Lissu, kuwa wewe ndiye uliyeongoza kikosi Cha mauaji, kilichotaka kumwua Tundu Lissu.

Wacha kujizunngusha zungusha
Lissu ni wa kupuuzwa tu maana kila mtu anafahamu matatizo yake.kwai wewe unaona yupo sawa?
 
Wachawi wanawajua wenzao. Uchawi huongelewa na anayeijua labda kwa mafanikio au kwa kushindwa kwa kuzidiwa na wachawi wenzake.
 
Tangu Faza Asepe Jamaa hatoi machozi hovyo.
Keshajijua mtoto wa kambo.
 
Huu ujinga wenu ufanyeni kwenye majukwa yenu ya siasa yanayolindwa na ulozi, kamwe msilete uhuni wenu Madhabahuni ni chukizo kwa Mungu.
 
Kumbe ndo wanavopishana na mavx kipindi cha uchaguzii....!!!?? Kijana karusha jiwe gizani
 
hasa hawa wapinzani sijui nani kawadanganya eti kupata uongozi kisiasa Lazima eti washiriki uganga na ushirikina, ramli na kuchukuana miskule πŸ’
 
Makonda angekuwa kweli anamcha mwenyezi Mungu asingekuwa anashindwa hata kumpa mimba mkewe.
 
Futa ujinga wako, Makonda ni mwamba wa kaskazini? unadhani na kaskazini hatuna akili kama Songwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…