Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

Uwezi kutoboa kwa kudanga ila ukiwa na mipango kwa sasa hivi kibongobongo pesa ipo hizi mil 30 mpaka mil 50 Paula anaweza kuzichezea sana
Kwa maisha wanayoishi hao watu mama na mtoto bado hiyo pesa ni poketi money mill 50 ni nauli ya kwenda dubai na kurudi kufikia hotel pesa imeshaisha

Kibongo bongo bado tasnia hailipi kihivyo ndio mana ata wasanii wetu bado wana hali mbaya wanapata pesa inayoonekana ni kubwa sawa lakini matumizi yao ni makubwa kuzidi uwekezaji
 
Sio kwa maisha anayofunzwa ya kuishi kwa kutegemea papuchi.
 
Mbona mtoto wa Monalisa nae yupo kama Paula tu. Ishu sio vyeti vya Paula, ishu ni kwamba huyo mtoto ni MJINGA.
 
amefeli!
 
Kibongo bongo Usocialite haulipi. Unakuwa na jina kubwa Halafu fursa za kutumia jina lako hamna.
Mastaa Wengi wanamajina makubwa lakini maisha magumu.

Mtu hata nauli ya boda Hana Ila anashindwa kupanda daladala sababu Istagram Ni maarufu.
 
Hebu kajifunze kuandika kwanza
 
Kama ni management ya kumtafutia masponsa wa kumlala hilo simshauri.

Wema sepetu enzi zile akiwa wa moto, katika team yake ya machawa, alitumia mpaka mashoga. hawa walikuwa busy kumtafutia mabwana mpaka wa nje ya nchi kwa 10 parcent.

Leo wema kaachwa peke yake na maisha yake huku mwili wake ukizidi kukonda na kukomaa. waliomtumia washamkimbia.

Ninaamini hata wale aliowapa uroda enzi nzile akiwa na lile tako lake la plastic surgery, leo hata simu yake hawapokei, wanamuona "exipaya deti" baada ya kumtumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…