Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

Mfano mzuri mzee mpili now anapiga pesa haswa kusoma haimaanishi ndio kufanikiwa kimaisha mdau umetoa ushauri mzuri
Ukitaka kujua umeongea pumba na mashudu, hata Like amekupa chawa mwenzio wa usafini,,

Mzee mpili yuko kwenye soka, huyo demu udangaji.. Wapi na wapi?
Toka uanze kudanga umepata bei gani?
 

Umaarufu una mwisho wake , Elimu haina mwisho msimpotoshe, wako wapi akina nora? , wema?
 
Wabongo tunapenda kuhukumu sana tuache kila mtu aishi kivyake
Walifanikiwa wengi kimaisha hawajasoma hata [emoji23][emoji23]
 
Umaarufu una mwisho wake , Elimu haina mwisho msimpotoshe, wako wapi akina nora ? , wema ?
Nimeona mamake kwny ICU Anasema mwezi wa tisa Paula anaenda chuo majuu ila hakutaka kutaja ni nchi gani mi naona ni jambo jema kama akili yake nzito shule akasomee ujuzi bado mdgo miaka yake mi3 mi4 anaanza life lake vzr tu hata akidanga wkt tyr ana mishe za kumuingizia kipato Sawa Tu atakuwa tyr anajitambua anasimama yeye kama yeye bila mamake kuhusishwa[emoji846]!!
 
Mfano mzuri mzee mpili now anapiga pesa haswa kusoma haimaanishi ndio kufanikiwa kimaisha mdau umetoa ushauri mzuri
Mkuu, huyo mzee mpili anatumika na watu wa media ambao ndio wanaopiga pesa zaidi,watu wanaoibuka bila mikakati kama mzee mpili ni watu wakupita tu tena kwa muda mfupi sana,

Yuko wapi Piere liquid? yuko wapi Dr shika? alichoka mpaka akakosa hela ya kujitibisha hadi mauti yalipo mkuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…