Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

Brand!!!! kama hana product endelevu ya kupeleka sokoni yenye demand kubwa ni kumpoteza maboya mtoto wa watu. Hana chochote cha kufanya zaidi ya uvideo vixen, photoshoot kutangaza brand za watu kwa malipo kiduchu labda sana na event appearance nazo kwa malipo kiduchu.

Nchi yetu bado ni masikini, hivyo hivyo na industry bado ni masikini sana, issues kama Gigs na showbize bado hazina pesa kiasi hicho, na kwa wasanii hakuna msanii anaweza kuja na bidhaa yenye brand yake akaipush sokoni ika-boom. Wapo akina Flavian matata baada ya uwekezaji mkubwa wanapush product zao zinatoka lakini sio kwa ukubwa huo.

Paula kutengeneza pesa hizo mnazomuaminisha kupitia jina kibongo bongo ni uongo, labda kutengeneza umaarufu ambao utampa "pesa madafu tu". Njia walizopita akina Kyle Jenner huku haziko applicable.
 
Uwezi kutoboa kwa kudanga ila ukiwa na mipango kwa sasa hivi kibongobongo pesa ipo hizi mil 30 mpaka mil 50 Paula anaweza kuzichezea sana.
Hahahahahah kwahio adange kwa weledi sindio maana yake?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Anataja number za hela km ujazo wa tank la maji[emoji23][emoji23][emoji23]
He he he huenda yeye anazo ndio maana anazitaja kiwepesi wakati kila mtu anapambana na uchinga mjini! Fremu ziko hoi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Anafanya kazi gani?
Management ikamsimamie kwenye kazi zipi?
Dogo hana Product kwamba watu watanunua zaidi amepata umaarufu kupitia mama yake! Sasa sielewi hata mie hio management ya nini maana unajua ukiwa na kitu kama talent labda you might use it ku influence sales kwenye biashara za watu ukalipwa commissions kama BA!

Sasa dogo anamenejiwa katika kitu gani labda sababu madanga wanapenda nyama mbichi labda hio menejiment iwe ya kumtafutia wazee wa kazi Dubenga huko waje kulamba Tigo yake kwa Madau ya kimataifa!

Atleast awe na product inayomtambulisha sokoni kwanza vinginevyo tunajua biashara kubwa ya masataa uchwara ni umalaya hapa mjini!
 
Kibongo bongo Usocialite haulipi. Unakuwa na jina kubwa Halafu fursa za kutumia jina lako hamna.
Mastaa Wengi wanamajina makubwa lakini maisha magumu.

Mtu hata nauli ya boda Hana Ila anashindwa kupanda daladala sababu Istagram Ni maarufu.
Joh Makini aliimba tunatengeneza Maskini wenye majina makubwa! Belle 9 sahizi anagongea bia kwa muhuni wangu mmoja akija DSM jamaa kapanga mwenge ila kutoka kwake kinyonge sana yani ila ni star! πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚ Huwa nashindwa kuelewa huu ustar kibongo bongo mnautafsiri vipi! Star ni mtu maarufu worldwide hawa bongo ni ma celebs tu!
 
Maisha haya ukipata fursa piga mpunga, as long as hautoi roho ya mtu, haumfanyii mtu ulozi au kuiba mali za watu...
 
Paula ataishia tu ka wema, angekuwa mbelezi ka USA angetoboza kwa kufanya hata modelling au kupata matangazo ila kibongo bongo atakuwa anawasaidia wanaume kutoa hamu na yeye kupata hela za photoshoot
 
Paula ataishia tu ka wema, angekuwa mbelezi ka USA angetoboza kwa kufanya hata modelling au kupata matangazo ila kibongo bongo atakuwa anawasaidia wanaume kutoa hamu na yeye kupata hela za photoshoot
Kutoa nini? Sio kuwasaidia, kwani atatoa bure? Si atalipwa? Sema kuuza huduma, na si kuwasaidia wanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na uwekezagi wao hauna future wala improvements kwa sababu mwisho wao ni kudanga tu na kuhongwa

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu zile ni fursa kwa watu wa media wanajiita brand managers.
Kwa mfano huyo mzee mpili sawa ni maarufu lakini bado anatembelea baiskeli ya phoenix

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Wazo zuri, hata Mimi sikuwanalo hongera sana, tatizo hajitambui yeye anaona kuwa midomoni mwa watu ni sifa, mama naye kutwa kutembea uchi inasikitisha sana
 
Wazo zuri, hata Mimi sikuwanalo hongera sana, tatizo hajitambui yeye anaona kuwa midomoni mwa watu ni sifa, mama naye kutwa kutembea uchi inasikitisha sana
Si utoto unamsumbua yani kadem ka 18 yrs old kanawaza nini zaidi ya iPhone macho matatu na outing za KFC hapo anaona kamaliza maisha too bad hana kiongozi mzuri! Mama yake ndio anamsikiliza mtoto anataka nini badala ya mtoto kumsikiliza mzaziπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…