Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Wako wapi wa kina bashite na sasa hivi wako wapi kimaisha
 
Kufeli mtihani sio kufeli maisha,waliopata div zero wakati nasoma wengi wao Sasa hivi wapo mbali sana kimaisha
Acheni kuendelea kujifariji na hii kauli,mtu anapata zero miaka minne,sasa huo mda alioutumia shule si angewekeza katika maisha si angekuwa mbali zaidi.
 
Amefeli mtihani lkn ajafeli uzur atakuja kua na maisha ya kifahari uyo ngoja aende kwa bibi zake uhoranzi huko akurudi utajua tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa ufaulu huo anaenda chuo hivi vya elimu ya kati,na akikaza buti anaweza fika chuo kikuu na kama atendelea kielimu zaidi pia anaweza fika kiwango kingine cha elimu(hata kuwa profesa) kama ana mpango huo.
 
Alistahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndio wanaadamu na hivi ndio tulivyo.... Angepata Div One pia tungehoji hiyo shule inawalakini...
 
So what?
Wewe ulipata ngapi mwenzetu?
Na imekusaidia nini mpaka sasa kama unashadadishia visivyokuhusu?

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Halina faida wala hasara kwako.wewe la nini sasa???

Nimesahau lina hasara kwako sbabu umeacha kufanya kaz zako za kuingizia kipato.Unapoteza mda kupiga majungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…