Uncle Yoso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 378
- 262
Wako wapi wa kina bashite na sasa hivi wako wapi kimaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kuendelea kujifariji na hii kauli,mtu anapata zero miaka minne,sasa huo mda alioutumia shule si angewekeza katika maisha si angekuwa mbali zaidi.Kufeli mtihani sio kufeli maisha,waliopata div zero wakati nasoma wengi wao Sasa hivi wapo mbali sana kimaisha
Tusime
Duuh! Halafu nilikuwa sijaangalia vizuri jina lako!! Ama kweli wewe ni ZEE LA ZERO!! Hongera sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wengine hawakusoma kabisa lakini kimaisha wako mbali!Kufeli mtihani sio kufeli maisha,waliopata div zero wakati nasoma wengi wao Sasa hivi wapo mbali sana kimaisha
Yaani elimu imekuwa ya ajabu sana
Kwa ufaulu huo anaenda chuo hivi vya elimu ya kati,na akikaza buti anaweza fika chuo kikuu na kama atendelea kielimu zaidi pia anaweza fika kiwango kingine cha elimu(hata kuwa profesa) kama ana mpango huo.
AlistahiliHa ha ha ha ha nimesikia mtoto wa Pfunky Majani na Kajala Masanja, Paula amepata division zero katika matokeo yake ya kidato cha nne yaliyotangazwa jana.
Unaambiwa tangu matokeo yatangazwe Paula hana amani kabisa,kula hali hana furaha kabisa yani kutokana na kuvurunda katika matokeo yake.
Nitawajuza zaidi ngoja niendelee kupeleleza zaidi na zaidi.
View attachment 1004347
Sent using Jamii Forums mobile app
duh!!!Kufeli mtihani sio kufeli maisha,waliopata div zero wakati nasoma wengi wao Sasa hivi wapo mbali sana kimaisha
Na waliofaulu nao wako wapi kimaisha??
Lengo ni kuwapa moyo wasikate tamaa, kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi. Waliofaulu wengine wana maisha mazuri lakini si mazuri, inategemea juhudi ya mtuNa waliofaulu nao wako wapi kimaisha??
Maana hizo kauli zenu kanakwamba waliofaulu hawana maisha.
[emoji1] Wakimbia umande utawajua tu
Sent using Jamii Forums mobile app