Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nipo mbona… umenipotezeaaaa upo busy kugombana na watu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mic u mno dada, umepotelea wapiii.
Bongo tunasafari ndefu sanaUnataka details?
Uwa nna imagine ningekuwa naandika udaku hii JF ingekuwa balaa. Files zipo za hatari.
Nishawahi kusikia hizi habari. Maana kuna jamaa yetu ana hela za urithi na zinamuwasha sana na anapenda kula mastar ndio alitupa hizo habari😂😂Na Paula ndo dalali wa mama ake, maana wote wadangaji. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 nliogopa jamani nkajua ndo washakuflash tena uje na id mpya…. Miss you pia sanaaa😘😘😘Nimeachaa dada, now nimekaa kwa kutuliaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23] mic u mnoo.
Afanye nae akasafishee nyotaa kwa paulaa.Nishawahi kusikia hizi habari. Maana kuna jamaa yetu ana hela za urithi na zinamuwasha sana na anapenda kula mastar ndio alitupa hizo habari[emoji23][emoji23]
Nahisi pfunk huwa anajuta sana kuzaa na kajala. Yaani huyo paula kafundishwa umalaya akiwa mdogo sana yaani ameharibika mapema mno. Nahisi pfunk huwa anajifungia sehemu analia kwanza halafu akitoka anajikausha.Afanye nae akasafishee nyotaa kwa paulaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha nje ya jf yapoje jaman.. kwanza ulifanyana nini na waja ukala ban😂Sahivi mambo yakiwa Mengi, nalog out kupisha kuingia mkenge wa Ban, sitakii tenaaaa
Kheri nusu shari kuliko shari kamili sio😅Sahivi mambo yakiwa Mengi, nalog out kupisha kuingia mkenge wa Ban, sitakii tenaaaa
Mchawi maji tu, ila majani anapitia magumu *****[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa dear ndo mapema yotee hii, ameosha mda gan? Huyo Pau na Vanny si wameachana week ilopitaa.
Woiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan alie kisa paula kudate na wanaume? Kwan ni mdogo?? MmmmhNahisi pfunk huwa anajuta sana kuzaa na kajala. Yaani huyo paula kafundishwa umalaya akiwa mdogo sana yaani ameharibika mapema mno. Nahisi pfunk huwa anajifungia sehemu analia kwanza halafu akitoka anajikausha.