Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Wawe wapenzi au wasiwe wapenzi,kimpango wao sisi haitatusaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mario alimdate Mimi? Duhh!Sema marioo na mimi mars waliendana sana ila hapa kwa paula marioo anaenda kufurisiwa tu paula na mamaake wajanja wajanja wanaenda kumtoa bad kwenye reli labda marioo awe mtu wa kupga na kusepa apo sawa ila kama kamuelewa tutegemee nyimbo za kulia sana mwaka huu kuliko amapiano[emoji16][emoji16]
😁😁Mbna ni muda mrefu sana walikua pamoja hawa watu
Huyu Mimi Mars kuna interview alidai hawez date wanaume wa kitanzania sasa Mario ilikuaje tena😃😃 hatar sana.😁😁Mbna ni muda mrefu sana walikua pamoja hawa watu
Huyu Mimi Mars kuna interview alidai hawez date wanaume wa kitanzania sasa Mario ilikuaje tena😃😃 hatar sana.
Kipenzi umebadili ID?Kwahiyo siku hizi power safe injection ni UTI tu. Hapakuwa na sababu ya huyo aliyeisema hapo.
Nini kinachoshindikana mbele ya pesa rayvan aligharamia safari ya Paula kwenda nje zaidi ya mil 50 pesa hiyo ni nyingi sana inatosha kabisa kuwala hao wote mama na mtotoHivi inamaana ni kweli Harmonise alimla huyo Paula???