Paula Kajala na Marioo ni Wapenzi?

Paula Kajala na Marioo ni Wapenzi?

Ila huyu Paula kaanza umalaya mapema na anadanga na watu wa hovyo atumie umaarufu na kudanga Kwa Akili maan huyu atafubaa na kuchakaa haraka au anataka kuwa mamAke kuzeeka Kwa kudanga with nothing to show, ni huzuni kweli kweli asije kuwa tu ka wema kakosa soko anahangaika na chibaba chake
Yani anafata njia zile zile za wema show off za kijinga kwenye social media
 
Mtoto maarufu na asiyekaukiwa na matukio mjini, wa mastaa wawili wa Bongo industry, kajala masanja na P Funk Majani, aitwae Paula ameamua kuonesha wazi mapenzi yake kwa msanii pendwa na mwenye hit songs kibao za mapenzi ya kubembeleza anayefahamika km Marioo.
Bongo industry ni kitu gani?
 
Ila huyu Paula kaanza umalaya mapema na anadanga na watu wa hovyo atumie umaarufu na kudanga Kwa Akili maan huyu atafubaa na kuchakaa haraka au anataka kuwa mamAke kuzeeka Kwa kudanga with nothing to show, ni huzuni kweli kweli asije kuwa tu ka wema kakosa soko anahangaika na chibaba chake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii.
 
Sema marioo na mimi mars waliendana sana ila hapa kwa paula marioo anaenda kufurisiwa tu paula na mamaake wajanja wajanja wanaenda kumtoa bad kwenye reli labda marioo awe mtu wa kupga na kusepa apo sawa ila kama kamuelewa tutegemee nyimbo za kulia sana mwaka huu kuliko amapiano😁😁
Waja Mbakizage maneno,.
Sijui aibu hii utaiwek wapi😂😂
 
Back
Top Bottom