Paula Kajala na Marioo ni Wapenzi?

Kwanza I believe it was Turkey ambapo Paula alijifanya anasoma mpk Mange akasema hapana; Ukraine alikuwa anasoma Sonia wa Monalisa I thk hapo umechanganya mambo
Niko timamu na nilicho kiandikaa. Labdaa wee mgeni hapa jukwaani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan alie kisa paula kudate na wanaume? Kwan ni mdogo?? Mmmmh
Kwa mzazi yeyote mwenye akili timamu na anayejitambua. Hawezi kupenda mtoto wake kuwa mtu wa ovyo. Pfunk majani anaonekana hata kwa uso, hana raha akiulizwa ishu yoyote kuhusu huyo binti yake.

Halafu huyo binti, shule alifeli? Ilimshinda? Au ada ilikosekana?
 
Aloo wewe huu umbea umeuleta vzr sna,uko vzr kufatilia maish za wasani wetu
Saf Sana Sina baya na wew[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu shule ndo hatuelewi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaona drama za mapenzi tyuuh.
 
Hpn Sonia wa monalisa ndio alikuwa Ukrainian akisoma account na huyu uliye muelezea hapo kidampa kidawa ndie alikuwa turkey

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ya turkey ilikataliwa, ndo wakasema Ukraine jaman. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…