Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Kutoka kutia Nia Hadi kutia huruma.Katika watu niliwasikitikia ni huyu! Kweli binadamu hafadhiliki
Watabakia wao tu hakuna mtu wa kukubali huo upuuziSitawaunga mkono
Wakati mwingine wanapiga kvantIna maana Bashiru hakuliona hilo?
Kutoka kutia Nia Hadi kutia huruma.
Usaliti mbaya Sana yaani watu wamekufa,ulemavu,wamejinyima, familia zao zinateseka kwa ajili yenu then mnawasaliti.Mfano pasipo mtulia aqulini asingekufa,cdm wasingekuwa na kesi na kuchomolewa pesa ili kununua Uhuru wao,then uyakumbuki hayo.
Wengine hata kuvaa suti, kuendesha gari kupiga pafyumu wamefundishwa upinzani,Leo wakasahau yote na kuanza kutoa kashfa na maneno machafu.Bado madiwani watia Nia nao kuchezea,walioenda nccr kwa nyodo kuchezea spana nao.
Duh! Mtu kama Nassary Arumeru ilikua yake kabisa kachezea shilingi chooni.Kutoka kutia Nia Hadi kutia huruma.
Usaliti mbaya Sana yaani watu wamekufa,ulemavu,wamejinyima, familia zao zinateseka kwa ajili yenu then mnawasaliti.Mfano pasipo mtulia aqulini asingekufa,cdm wasingekuwa na kesi na kuchomolewa pesa ili kununua Uhuru wao,then uyakumbuki hayo.
Wengine hata kuvaa suti, kuendesha gari kupiga pafyumu wamefundishwa upinzani,Leo wakasahau yote na kuanza kutoa kashfa na maneno machafu.Bado madiwani watia Nia nao kuchezea,walioenda nccr kwa nyodo kuchezea spana nao.
"Linda Sana ulichonacho Sasa kisikuponyoke" thamani ya kitu kisipokuwepo.Katambi sijui ataishije aje mtaani kutembeza bahasha.Duh! Mtu kama Nassary Arumeru ilikua yake kabisa kachezea shilingi chooni.
Na lile domo lake Sasa!! Tuone huko CCM bila cheo atakua karai au nini"Linda Sana ulichonacho Sasa kisikuponyoke" thamani ya kitu kisipokuwepo.Katambi sijui ataishije aje mtaani kutembeza bahasha.
Yule Elia Michael kapoteza na uafisa mtendaji aliopewa,Elia Michael, Lijuakali, Nassari,Silinde walishakuwa na mtaji Mkubwa kwa Jamii njia nyeupe ya kurudi bungeni,wakahadaika na propaganda za eti upinzani utakufa hakuna atakaerudi bungeni.Hakuna kipindi ambacho wapinzani wataingia kwa wingi sana bungeni Kama kipindi hichi.Na lile domo lake Sasa!! Tuone huko CCM bila cheo atakua karai au nini
Aisee kumbe Elia Michael kapoteza na ajira yake [emoji21][emoji21] Pengine wanaweza kumfikiria kwenye teuzi. Ila katika mtego mbaya kwa waunga mkono juhudi huu umewakamata.Yule Elia Michael kapoteza na uafisa mtendaji aliopewa,Elia Michael, Lijuakali, Nassari,Silinde walishakuwa na mtaji Mkubwa kwa Jamii njia nyeupe ya kurudi bungeni,wakahadaika na propaganda za eti upinzani utakufa hakuna atakaerudi bungeni.Hakuna kipindi ambacho wapinzani wataingia kwa wingi sana bungeni Kama kipindi hichi.
Aisee kumbe Elia Michael kapoteza na ajira yake [emoji21][emoji21] Pengine wanaweza kumfikiria kwenye teuzi. Ila katika mtego mbaya kwa waunga mkono juhudi huu umewakamata.
Tayari ameshakutana na WajumbeUpuuzi wa namna hii, ipo siku utakoma. Watu hawana huruma na taifa hili.
Wanaowazia teuzi waanze tafuta kazi zingine au waanze tembeza bahasha.Tupo hapa.Lengo lilikuwa ni kuuwa upinzani kwa njia hii ya manunuzi Sasa imefeli haina tija kwao tena.Aisee kumbe Elia Michael kapoteza na ajira yake [emoji21][emoji21] Pengine wanaweza kumfikiria kwenye teuzi. Ila katika mtego mbaya kwa waunga mkono juhudi huu umewakamata.
Tamaa mbele mauti nyuma.Yule Elia Michael kapoteza na uafisa mtendaji aliopewa,Elia Michael, Lijuakali, Nassari,Silinde walishakuwa na mtaji Mkubwa kwa Jamii njia nyeupe ya kurudi bungeni,wakahadaika na propaganda za eti upinzani utakufa hakuna atakaerudi bungeni.Hakuna kipindi ambacho wapinzani wataingia kwa wingi sana bungeni Kama kipindi hichi.
Sera za mwenyekiti Hadi wafuasi lenu moja tu.Kiburudisho
Sera za mwenyekiti Hadi wafuasi lenu moja tu.Kiburudisho