Paulo afuata nyayo za Nape, atuma ujumbe kumwombea msamaha kwa aliowakosea

Lakini makonda bado ni kijana sana! Hao unaowataja ten years ahead wanaweza wasiwepo kwenye nafasi hizo na Makonda akapata nafasi tena vizuri tu! Hatima ya mtu haiko kwa watu ipo kwa Mungu tusikariri maisha!
 
Lakini makonda bado ni kijana sana! Hao unaowataja ten years ahead wanaweza wasiwepo kwenye nafasi hizo na Makonda akapata nafasi tena vizuri tu! Hatima ya mtu haiko kwa watu ipo kwa Mungu tusikariri maisha!

Kweli ubongo wa wengi ni dhaifu sana. Ujana ndio sbb ya kupata nafasi au madaraka au kuishi maisha marefu? So, sbb alikuwa kijana ndio alifanya upuuzi wote ule? Hivi una brain ww kweli?
 
Kweli kabisa hasa kwa mwenyekiti Mbowe nafikiri maagizo aliyopewa na baba mkwe ni mazito Sana,kwamba chama ni uchumi asimwachie mwingine ila siku kikikosa pesa hata chasaka anaweza kuwa mwenyekiti.
 
Paul atarudi siku Mpango au Chongolo watakapoachia viti vyao. Aliwadhalilisha vyakutosha.View attachment 1981368
Alikuwa akinichanganya sana, maana kazi ilikuwa inapigwa kweli kweli, na akibutua anabutua kwelikweli.
Kama hii ya pensi duuh πŸ˜† mbele ya wazee, kujisifia na kutaka attension viliharibu status yake.
Bashiru alikuwa anamkunja lkn mbishii, nilishuhudia kny ibada ya mazishi ya Dr Mengi Moshi kanisani, yaani alinidissapoint sana πŸ˜‘
 
Unadhani msukuma hana pesa? Kwa nini anang'ang'ania ubunge?

Chenge hana pesa? Mo Dewji hana pesa? Kwa nini aligombea ubunge? Manji hana pesa? Kwa aligombea udiwani?

Stupid.
Acha kutokana watu

Unajua maana ya mamlaka?
 
Watu hubadilika mkuu

Aliyekua mbaya aweza kuwa mwema na aliyekua mwema aweza kuwa mbaya kupitiliza

Hata Sauli aliyekua muuaji alipopata neema ya Mungu alimtumikia Mungu na watu kwa uaminifu na ukamilifu

Tusihukumu watu kwa historia
Ila kila mtu lazima alipwe kutokana na mstendo yake ili wengine wajifunze kupitia yeye. Ile samehe saba mara sabini ibaki huko kwenye dini. Huku ukiua kwa makusudi kabisa utafungwa maisha au kunyongwa.
 
Mshahara wa dhami ni mauti, huyu mtu amefanya mabaya na ukatili sana kwa wenzake. Hana tofauti na jambazi sabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…