Paulo wa Tarso jasusi la kiroma lililopewa misheni ya kubadili mwelekeo wa Ukristo na kuwa upagani

Paulo wa Tarso jasusi la kiroma lililopewa misheni ya kubadili mwelekeo wa Ukristo na kuwa upagani

Hamjambo!

Kwa upande wangu, Paulo aka Sauli ninamchukulia kama mwandishi mashuhuri aliyepewa nafasi na Dola la Rumi Kwa Siri Ili kubadili uelekeo wa Ukristo na kuufanya uwe upagan.

Paulo/Saul: kiasili ni Myahudi
Raia; Warumi
Elimu: Farisayo, elimu ya juu ya Dini ya kiyahudi.

Paulo hakuwahi kuonana na Yesu popote kipindi Yesu yupo Hai.

Utume wa Paulo ni mission Kwa sababu zifuatazo;

1. Paulo alikuwa adui wa Wakristo wa mwanzoni.
Lakini akapiga U-turn Kwa kile alichosema ametokewa na mtu aliyejitambulisha Kwa Jina la Yesu.

2. Paulo hakuwahi kumwona Yesu popote kipindi Yesu akiwa Duniani.
Hata hoja yake ya kutokewa na Yesu kimiujiza akiwa anaenda Dameski Haina uthibitisho. Ni ushuhuda binafsi. Ni sawa na hawa manabii wakileo wanaosema wametokewa na Yesu.
Hata waliokuwa na Sauli/Paulo hawakumwona Wala kuisikia Sauti ya Yesu ila Paulo anadai alitokewa na kusikia sauti.

3. Hakuna mantiki ya Yesu kumchagua Paulo wakati walikuwepo wanafunzi kumi na Moja waliobakia aliowafundisha Kwa miaka miitatu...
Ndio maana hata wanafunzi wa Yesu walimchukulia Paulo kama Mamluki wa Waroma. Hasahasa Petro.

4. Paulo alienda kinyume na Mafundisho ya Yesu hasa yanayohusu Torati ya Musa.
Paulo ndiye mhusika pekee aliyeipotosha Biblia na kuipa mrengo wa kipagani.
Mafundisho ya sabato
Kumfanya Yesu Mungu
Kuruhusu kula chakula chochote n.k.

5. Wakati huo Injili ilikuwa haijaandikwa. Paulo hajakutana na Yesu kipindi Yesu akiwa Duniani. Paulo anakinzana na wanafunzi wa Yesu. Kwa vyovyote vile mazingira ya Paulo kuwa na mafundisho Halisi ya Yesu uwezekano ni mdogo sana.

6. Paulo ndiye aliyesema Mamlaka zote zinatoka Kwa Mungu. Na watu waheshimu mamlaka. Fundisho ambalo sio kweli. Alikuwa akitetea Dola la rumi Kwani yeye alikuwa raia wa Roma ingawaje alikuwa myahudi.
Sio Kila Mamlaka inatoka Kwa Mungu.
Zipo mamlaka dhalimu, zakishetani, katili na zakinyama ambazo hazitoki Kwa Mungu.

Mafundisho hayohayo ya kikafiri hutumika na Dola nyingi dhalimu kutawala watu kishenzi na kimabavu.

Paulo angekuwa sio Jasusi la kiroma Wala asingesema hayo. Angesema, mamlaka zinazofuata haki zinatoka Kwa Mungu huku zile zinazofanya udhalimu zikitoka Kwa yule muovu.

7.;Paulo ndiye Mhusika pekee aliyeandika Falsafa za kuwafanya wasililizaji na wasomaji wa maandiko yake kuacha kupigania mambo ya mwili na kukazana na mambo ya roho..
Lengo lake ni kuwafanya watu waache kujikita na mambo ya ulimwengu Ili Dola la rumi lizidi kustawi na kutawala bila shida.

Acha nipumzike
Paulo alionana na wanafunzi wa Yesu. Paulo sio wa kwanza kusema Yesu ni Mungu. Wewe ni chizi. Paulo wala hakuna baya aliloufanyia ukristo. Mjinga kama wavaa kobazi wewe. Kama hujasoma vizuri historia ya Ukristo utapotoka sana. Pseudo knowledge.
 
Kuhusu mambo ya kiroho kuliko ya kimwili ipo hivi.
Mambo yote uyaonayo uanzia rohoni mwilini ni hitimisho au udhihirisho tu.
"Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu ndipo mengine yoote mtazidishiwa"
Ina maana ya kwamba kumjua Mungu ndio chanzo cha maarifa,so tafuteni kwanza maarifa ukishakuwa na maarifa kila kitu kimwili kitapatikana tena kwa urahisi kabisa utaona mambo yanakimbia tu.
Ukiwa katika roho kwenye matatizo we unaona fursa kwa sababu roho haina mipaka,roho inaona zaidi,roho haina limitations sijui Sina mtaji, sijui connection nk haya ni mambo ya mwilini huko ndo kuna sina mtaji, sina connection,nk.
 
Unajua Biblia tangu mwanzo mpaka Malaki inaeleweka kabisa.
Shida inaanzia kwa Injili ambapo ukisoma kwa kina, kuanzia kifalsafa, kihistoria, kifasihi, kijasusi unagundua kabisa kuna Jambo halipo sawa.

Paulo,maandishi yake yapo kikafiri, mpango wake ulikuwa ku- neutralise uyahudi kwa kupunguza ukali na uzito wa Sheria za Musa(ambaye inadaiwa alipewa na Mungu).

Paulo ni aina ya watu kama kina Masanja Mkandamizaji.

Alikuwa anataka kufanya utandawazi katika Dini. Kufanya watu wa Dunia waabudu kama wapo katika kijiji kimoja lakini kwa namna ya tamaduni zao.

Mfano, kama unaenda Kwa wala Panya, Paulo angesema Kula Panya sio Kosa, na mtu asiwahukumu ninyi kwa Kula Panya. Ilhali Torati inasema vinginevyo.
Huo ndio Ukafiri na upagani wenyewe.

Kueneza Injili sio kuirahisisha na kuziathiri amri za Mungu. Kwa kisingizio unaeneza Dini.

Paulo anaeleweka sema ukitaka umtetee ndio utajifanya haeleweki.
Lakini yupo Wazi!
Paulo ni Mixed Culture
Hahaha eti kama Masanja.

Ili kumuelewa naamini tuziweke contradictions zake alafu ndio tuanzie hapo kujifunza anasimamia wapi au kina KITU cha ziada alikuwa anataka kuonyesha.

1: Kunena KWA Lugha. Anakemea kuongea chochote bila mtu kutafsiri. Wakati huohuo anasema mtu akinenananajinenea mwenyewe na kujijenga yeye

2: Sheria Kuna sehemu anaziendorse anasema ni nzuri na ni takatifu.
Kuna sehemu anasema chini KUWA chini ya Sheria ni chini ya Laana.

2: Sabato. YEYE MWENYEWE ANASHINDA KWENYE MASINAGOGI SIKU YA SABATO ULAYA NZIMA, TENA PENGINE ANAELEKEZA SABATO WATU WA KUTANE CHINI YA MTI KWA SABABU HAKUKUWA NA KANISA. PENGINE ANASEMA MTU ASIWAHUKUMU KWA SABATO.

3: Kumuona Yesu yeye anaseme Walionana Njiani kuelekea Dameski na kumpa maagizo ya KUWA MFUASI wake. Baada ya Yesu kufufuka. Kule YERUSALEM alipelekwa na Kefa siku nyingi akapewa familiarization ya maisha ya Yesu. Huu ushahidi wa kukutana na Yesu anautoa hata mahakamani. Kusema hajakuta nae ni kumpotosha
 
Paul kufidia matendo yake mabaya kama malipizi ndie mwanafunzi aliyeeneza sana Ukristo hasa barani Ulaya mashariki.
Mwanafunzi wa Yesu ni mtu yeyeto aliyeamini na kubatizwa na akaamua kuwa muinjilisti na wainjilisti/ wanafunzi wa Yesu wataendelea kuwepo hata vizazi na vizazi
 
Aliongozwa na andiko la ISAYA ambalo lilitabiri INJILI kufika Hadi Tarshishi ( Hispania) KWA bahati mbaya aliishia Italia tu
 
Hata Yesu alisema ya Kaisari mpe Kaisari. Naye alikuwa raia wa Roma? Ndugu Mtibeli nakishauri piga chini Biblia yote ili uwe huru.

Mimi nipo Huru.
Huyo Yesu pia kuna Maeneo alipuyanga.
Mojawapo ni kutoa hiyo statement.

Nikukumbushe tuu,
Masihi aliyetabiriwa na anayengojewa na wayahudi( sio watu wengine kwa sababu hawamjui na hawana habari zake). Moja ya mambo ambayo angeyafanya ni kuwakomboa wayahud kutoka katika mikono ya Watesi wao.

Kisha yeye atakuwa mfalme mwenye kuleta amani duniani.

Sasa Hilo swali aliloulizwa, lililenga Mambo mawili;
1. Kumshitaki na kumchonganisha na serikali.
Hii ilishindikana kwa sababu alikimbia swali kijanja na kutoa kauli hiyo ya kaisari apewe Kaisari na yaMungu apewe Mungu.

2. Kujua kama yeye ndiye Masihi au La!
Jibu lake lilitoa muelekeo yeye sio Masihi. Kwamba hajaja kuwakomboa wayahudi na watesi wao ambao ni Dola la Roma kwa wakati huo. Ambao walikuwa wakichukua Kodi za wayahudi. Yaani Wayahudi na uyahudi lilikuwa Koloni la Mrumi.

Swali hilo ni Moja ya maswali muhimu yaliyowapa wayahudi muelekeo kuwa Yesu sio masihi. Na walimkataa kama Masihi wao
 
Unadhani KWA nini Wachawi wa Mashariki walisoma nyota iliyotabiriwa katika torati KUWA aliyezaliwa ndio masihi wa Wayahudi lakini Wahusika hawakujua chochote.

Inaonekana wale jamaa walikuwa na mtazapo potofu juu ya maandiko yao na maana halisi ya namna waliyotakiwa kukombolewa sio kisiasa
 
Hamjambo!

Kwa upande wangu, Paulo aka Sauli ninamchukulia kama mwandishi mashuhuri aliyepewa nafasi na Dola la Rumi Kwa Siri Ili kubadili uelekeo wa Ukristo na kuufanya uwe upagan.

Paulo/Saul: kiasili ni Myahudi
Raia; Warumi
Elimu: Farisayo, elimu ya juu ya Dini ya kiyahudi.

Paulo hakuwahi kuonana na Yesu popote kipindi Yesu yupo Hai.

Utume wa Paulo ni mission Kwa sababu zifuatazo;

1. Paulo alikuwa adui wa Wakristo wa mwanzoni.
Lakini akapiga U-turn Kwa kile alichosema ametokewa na mtu aliyejitambulisha Kwa Jina la Yesu.

2. Paulo hakuwahi kumwona Yesu popote kipindi Yesu akiwa Duniani.
Hata hoja yake ya kutokewa na Yesu kimiujiza akiwa anaenda Dameski Haina uthibitisho. Ni ushuhuda binafsi. Ni sawa na hawa manabii wakileo wanaosema wametokewa na Yesu.
Hata waliokuwa na Sauli/Paulo hawakumwona Wala kuisikia Sauti ya Yesu ila Paulo anadai alitokewa na kusikia sauti.

3. Hakuna mantiki ya Yesu kumchagua Paulo wakati walikuwepo wanafunzi kumi na Moja waliobakia aliowafundisha Kwa miaka miitatu...
Ndio maana hata wanafunzi wa Yesu walimchukulia Paulo kama Mamluki wa Waroma. Hasahasa Petro.

4. Paulo alienda kinyume na Mafundisho ya Yesu hasa yanayohusu Torati ya Musa.
Paulo ndiye mhusika pekee aliyeipotosha Biblia na kuipa mrengo wa kipagani.
Mafundisho ya sabato
Kumfanya Yesu Mungu
Kuruhusu kula chakula chochote n.k.

5. Wakati huo Injili ilikuwa haijaandikwa. Paulo hajakutana na Yesu kipindi Yesu akiwa Duniani. Paulo anakinzana na wanafunzi wa Yesu. Kwa vyovyote vile mazingira ya Paulo kuwa na mafundisho Halisi ya Yesu uwezekano ni mdogo sana.

6. Paulo ndiye aliyesema Mamlaka zote zinatoka Kwa Mungu. Na watu waheshimu mamlaka. Fundisho ambalo sio kweli. Alikuwa akitetea Dola la rumi Kwani yeye alikuwa raia wa Roma ingawaje alikuwa myahudi.
Sio Kila Mamlaka inatoka Kwa Mungu.
Zipo mamlaka dhalimu, zakishetani, katili na zakinyama ambazo hazitoki Kwa Mungu.

Mafundisho hayohayo ya kikafiri hutumika na Dola nyingi dhalimu kutawala watu kishenzi na kimabavu.

Paulo angekuwa sio Jasusi la kiroma Wala asingesema hayo. Angesema, mamlaka zinazofuata haki zinatoka Kwa Mungu huku zile zinazofanya udhalimu zikitoka Kwa yule muovu.

7.;Paulo ndiye Mhusika pekee aliyeandika Falsafa za kuwafanya wasililizaji na wasomaji wa maandiko yake kuacha kupigania mambo ya mwili na kukazana na mambo ya roho..
Lengo lake ni kuwafanya watu waache kujikita na mambo ya ulimwengu Ili Dola la rumi lizidi kustawi na kutawala bila shida.

Acha nipumzike
Mmmh!! Ngoja waje wenyewe,mi simo 😄😂😂
 
Hahaha eti kama Masanja.

Ili kumuelewa naamini tuziweke contradictions zake alafu ndio tuanzie hapo kujifunza anasimamia wapi au kina KITU cha ziada alikuwa anataka kuonyesha.

1: Kunena KWA Lugha. Anakemea kuongea chochote bila mtu kutafsiri. Wakati huohuo anasema mtu akinenananajinenea mwenyewe na kujijenga yeye
Hilo andiko halikuwa na umuhimu wa kuliweka kwa mwandishi ambaye anajua kabisa linaweza kuleta contradictions.

Kunena Kwa Lugha haukuwa utamaduni wa wayahudi. Na kabla ya Paulo hakukuwahi kuandikwa Jambo hilo. Ingawaje sio kwamba halikuwepo.
2: Sheria Kuna sehemu anaziendorse anasema ni nzuri na ni takatifu.
Kuna sehemu anasema chini KUWA chini ya Sheria ni chini ya Laana.

Ndio Ukafiri wenyewe huo.
Huwezi kusema kupata Jambo fulani ni Jambo jema alafu hapohapo kuwa chini ya Jambo hilo ni laana.

Torati inaeleza na inatoa msimamo kuwa kufuata Sheria na torati(kuwa chini ya sheria) ni kutafuta baraka za Mungu. Na Mungu wa wayahudi anakazia Jambo Hilo mara kwa mara.

Leo Paulo anasema kuwa Chini ya sheria ni Laana, kila kitu Kipo wazi
2: Sabato. YEYE MWENYEWE ANASHINDA KWENYE MASINAGOGI SIKU YA SABATO ULAYA NZIMA, TENA PENGINE ANAELEKEZA SABATO WATU WA KUTANE CHINI YA MTI KWA SABABU HAKUKUWA NA KANISA. PENGINE ANASEMA MTU ASIWAHUKUMU KWA SABATO.
Kukutana siku ya sabato ni Jambo Moja. Amri inasema kuishika, kuitunza, kuitakasa, kuiheshimu.kwenda kanisani siku ya sabato hakuna uhusiano na kushika Sabato.
3: Kumuona Yesu yeye anaseme Walionana Njiani kuelekea Dameski na kumpa maagizo ya KUWA MFUASI wake. Baada ya Yesu kufufuka. Kule YERUSALEM alipelekwa na Kefa siku nyingi akapewa familiarization ya maisha ya Yesu. Huu ushahidi wa kukutana na Yesu anautoa hata mahakamani. Kusema hajakuta nae ni kumpotosha

Hakuna ushahidi wowote wa Paulo kuwa alikutana na Yesu.
 
Mimi nipo Huru.
Huyo Yesu pia kuna Maeneo alipuyanga.
Mojawapo ni kutoa hiyo statement.

Nikukumbushe tuu,
Masihi aliyetabiriwa na anayengojewa na wayahudi( sio watu wengine kwa sababu hawamjui na hawana habari zake). Moja ya mambo ambayo angeyafanya ni kuwakomboa wayahud kutoka katika mikono ya Watesi wao.

Kisha yeye atakuwa mfalme mwenye kuleta amani duniani.

Sasa Hilo swali aliloulizwa, lililenga Mambo mawili;
1. Kumshitaki na kumchonganisha na serikali.
Hii ilishindikana kwa sababu alikimbia swali kijanja na kutoa kauli hiyo ya kaisari apewe Kaisari na yaMungu apewe Mungu.

2. Kujua kama yeye ndiye Masihi au La!
Jibu lake lilitoa muelekeo yeye sio Masihi. Kwamba hajaja kuwakomboa wayahudi na watesi wao ambao ni Dola la Roma kwa wakati huo. Ambao walikuwa wakichukua Kodi za wayahudi. Yaani Wayahudi na uyahudi lilikuwa Koloni la Mrumi.

Swali hilo ni Moja ya maswali muhimu yaliyowapa wayahudi muelekeo kuwa Yesu sio masihi. Na walimkataa kama Masihi wao
Kama unaweza kuamini maandiko ya Ellen White unashindwaje kumwelewa Paulo?
 
Paul angekuwa amepewa mission maalumu asingefaulu.
Giza haliwezi ishinda Nuru
 
Hamjambo!

Kwa upande wangu, Paulo aka Sauli ninamchukulia kama mwandishi mashuhuri aliyepewa nafasi na Dola la Rumi Kwa Siri Ili kubadili uelekeo wa Ukristo na kuufanya uwe upagan.

Paulo/Saul: kiasili ni Myahudi
Raia; Warumi
Elimu: Farisayo, elimu ya juu ya Dini ya kiyahudi.

Paulo hakuwahi kuonana na Yesu popote kipindi Yesu yupo Hai.

Utume wa Paulo ni mission Kwa sababu zifuatazo;

1. Paulo alikuwa adui wa Wakristo wa mwanzoni.
Lakini akapiga U-turn Kwa kile alichosema ametokewa na mtu aliyejitambulisha Kwa Jina la Yesu.

2. Paulo hakuwahi kumwona Yesu popote kipindi Yesu akiwa Duniani.
Hata hoja yake ya kutokewa na Yesu kimiujiza akiwa anaenda Dameski Haina uthibitisho. Ni ushuhuda binafsi. Ni sawa na hawa manabii wakileo wanaosema wametokewa na Yesu.
Hata waliokuwa na Sauli/Paulo hawakumwona Wala kuisikia Sauti ya Yesu ila Paulo anadai alitokewa na kusikia sauti.

3. Hakuna mantiki ya Yesu kumchagua Paulo wakati walikuwepo wanafunzi kumi na Moja waliobakia aliowafundisha Kwa miaka miitatu...
Ndio maana hata wanafunzi wa Yesu walimchukulia Paulo kama Mamluki wa Waroma. Hasahasa Petro.

4. Paulo alienda kinyume na Mafundisho ya Yesu hasa yanayohusu Torati ya Musa.
Paulo ndiye mhusika pekee aliyeipotosha Biblia na kuipa mrengo wa kipagani.
Mafundisho ya sabato
Kumfanya Yesu Mungu
Kuruhusu kula chakula chochote n.k.

5. Wakati huo Injili ilikuwa haijaandikwa. Paulo hajakutana na Yesu kipindi Yesu akiwa Duniani. Paulo anakinzana na wanafunzi wa Yesu. Kwa vyovyote vile mazingira ya Paulo kuwa na mafundisho Halisi ya Yesu uwezekano ni mdogo sana.

6. Paulo ndiye aliyesema Mamlaka zote zinatoka Kwa Mungu. Na watu waheshimu mamlaka. Fundisho ambalo sio kweli. Alikuwa akitetea Dola la rumi Kwani yeye alikuwa raia wa Roma ingawaje alikuwa myahudi.
Sio Kila Mamlaka inatoka Kwa Mungu.
Zipo mamlaka dhalimu, zakishetani, katili na zakinyama ambazo hazitoki Kwa Mungu.

Mafundisho hayohayo ya kikafiri hutumika na Dola nyingi dhalimu kutawala watu kishenzi na kimabavu.

Paulo angekuwa sio Jasusi la kiroma Wala asingesema hayo. Angesema, mamlaka zinazofuata haki zinatoka Kwa Mungu huku zile zinazofanya udhalimu zikitoka Kwa yule muovu.

7.;Paulo ndiye Mhusika pekee aliyeandika Falsafa za kuwafanya wasililizaji na wasomaji wa maandiko yake kuacha kupigania mambo ya mwili na kukazana na mambo ya roho..
Lengo lake ni kuwafanya watu waache kujikita na mambo ya ulimwengu Ili Dola la rumi lizidi kustawi na kutawala bila shida.

Acha nipumzike
wewe dogo nilishawahi kukuonya uachane na haya mambo ya rohoni. Unajinajisi sana. Biblia sio falsafa. take care!
 
wewe dogo nilishawahi kukuonya uachane na haya mambo ya rohoni. Unajinajisi sana. Biblia sio falsafa. take care!
Mkuu acha kutisha watu biblia ilisha haribiwa na wa kurisato wenyewe kwa sasa sio kitabu cha kuogopa kabisa, kitabu gani chanye ufunuo wa raho mtakatifu kinacho kinzana?
 
Mkuu umeeleza kwa kina sana.
Naomba kufahamishwa injili hii ya Barnaba, ni Barnaba huyu huyu ambaye katika agano jipya alionekana akihudumu pamoja na Paulo kama mshirika mwenzie???

Ahsante!.
Naam. Uliza Grok au Chatgtp utaunlock habari zisizofichwa
 
Mkuu acha kutisha watu biblia ilisha haribiwa na wa kurisato wenyewe kwa sasa sio kitabu cha kuogopa kabisa, kitabu gani chanye ufunuo wa raho mtakatifu kinacho kinzana?
unapata nguvu ya kuyasema haya kwa sababu Caliph Uthman ibn Affan aliagiza versions za quran kuchomwa na kubakiza alizoziona zinaendana na matakwa yake.
kwa nini Wakristu waliruhusu injili zilizoandikwa na watu tofauti badala ya kubaki na moja tu iliyoandikwa na Mathayo?
Kwa nini waichilamu hawakutaka scenario kama ya Synoptic gospels iwe kwenye quran?
kwa nini nguvu kubwa ilitumika kuhakikisha kunakuwa na version moja tu ya Quran?
Je quran ni kitabu.
Kati ya utume wa Paulo na Ule wa Muhammad upi ni wa kutilia shaka zaidi kwa namna ulivyopatikana?
kuna third party kushughudia ushushio wa quran au ni kuamini tu mawazo yaliyotoka kwa mtu kwa kuipendelea nafsi yake?
Matusi na lugha za dharau vinaruhusiwa kwa sababu nimekulia kota
 
Mkuu naona umehama mada, rudi kwenye mada husika maswala ya Quran fungua Uzi wake.
 
Mkuu naona umehama mada, rudi kwenye mada husika maswala ya Quran fungua Uzi wake.
sijahama mada ndugu yangu, najaribu kupata authenticity ya hawa majasusi wawili mmoja wa kiyahudi na mmoja wa kiarabu.
Pia najaribu kuhoji moral authority inayokupa nguvu ya kuhoji namna vitabu hivi vimechezewa au kutiwa mikono ilhali inafahamika wazi kabisa Mungu hajawahi kuandika kitabu ila zote hizi ni kazi za wanadamu na kuna uthibitisho wa wazi wa haya katika vitabu hivi.
 
Injili ya Paulo na “Injili” ya Barnaba ni maandiko mawili yanayojitokeza kabisa—moja ni sehemu ya Kanoni ya Agano Jipya, jingine ni maandiko ya Apokrifa—na zinafundisha mafundisho ya kiroho na kimaadili tofauti kabisa. Hapa ni sehemu kuu za kuzitofautisha:

1. Asili na Uhalali wa Kikanoni​

  • Injili za Paulo (Barua za Paulo):
    • Ni barua (Epistles) kumi na nne (kama Roma, Warumi, etc.) zilizopokelewa rasmi na Kanoni ya Agano Jipya kati ya karne ya 1–4 BK.
    • Zilichapishwa na Mtume Paulo mwenyewe (au katika kikosi chake cha karibu), akilenga kuimarisha makanisa ya kwanza na kuelezea mafundisho ya Ukristo—hasa wokovu kwa imani kwa Kristo.
  • Injili ya Barnaba (Gospel of Barnabas):
    • Ni maandiko ya kisanii yaliyotokana karne za katikati (yawezekana 14–16 BK), yaliyopatikana kwa lugha za Kiitaliano na Kiarabu.
    • Haikutambuliwa na makanisa makuu wala mawasisi wa Kanoni; inachukuliwa kuwa ya Apokrifa na mara nyingi inaelezwa kama maandiko yaliyotengenezwa na waandishi wa kisimu.

2. Christology (Fikra ya Kristo)​

  • Paulo:
    • Anashikilia kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, alizaliwa kwa Roho Mtakatifu na Bikira Maria, aliufanya dhabihu kamili kwa dhambi zetu na kufufuka.
    • Anafundisha wokovu hutokana na imani pekee kwa Kristo (justification by faith), si kwa matendo ya Sheria ya Musa.
  • Barnaba:
    • Inadanganya kwamba Yesu hakuumbwa au kulazwa msalabani—badala yake, Bandari (Judas Iskariot) ndiye alivunjwa msalaba.
    • Inakataza fikra ya Kikristo cha ubinadamu na mungu wa Yesu; inaeleza Yesu kama nabii tu, na inatangaza kwamba Muhammad atakuja baadaye.

3. Sheria na Wokovu​

  • Paulo:
    • Anajifunza kwamba Sheria (Torah) ilikuwa “msingi wa dhambi” na inaweza kutumika kuonesha haja ya wokovu, lakini haitoi wokovu yenyewe (Gal. 3:24).
    • Anahimiza maisha ya kiroho kwa Roho Mtakatifu, matendo mema yanafuata imani.
  • Barnaba:
    • Inasisitiza utekelezaji wa Sheria ya Musa kama njia ya wokovu na kuombea rehema.
    • Inasisitiza kufunga, kutoa sadaka, na kuzingatia maagizo ya kikatiba kama msingi wa haki mbele za Mungu.

4. Maono ya Mwisho (Eschatology)​

  • Paulo:
    • Anaelezea kufufuka kwa wafu na kutokea kwa Kristo katika mbingu kabla ya hukumu ya mwisho (1 Thes 4:16–17).
    • Anaonyesha thamani ya maisha ya sasa kama barabara kuelekea ustaarabu wa mbinguni.
  • Barnaba:
    • Inatoa maelezo ya kina kuhusu siku za mwisho kulingana na mtazamo wa Kiarabu/Islami.
    • Inapendekeza sababu za mwisho ni kuja kwa Nabii Muhammad na si Kristo.

5. Lengo na Watoa Maandishi​

  • Paulo:
    • Mtume wa Agano kwa Waganda (Gentiles), akifanya mipango ya kueneza Uinjili duniani kote.
    • Anaandika kwa makanisa maalum (Korintho, Efeso, Warumi…) ili kuwalea katika imani.
  • Barnaba:
    • Inaonekana imeandikwa kwa madhumuni ya kubadili Mkristo kuwa Muislamu, imaelezee Uinjili kulingana na mafundisho ya Kiislamu.
    • Haiko wazi mwandishi wa kihistoria—inaonekana ni kazi ya waandishi wa katikati ya karne.

Hitimisho​

  • Injili za Paulo ni msingi wa mafundisho yaliyopitishwa na Kanoni ya Uinjilini—zinafundisha kwamba wokovu ni kwa neema kupitia imani kwa Yesu Kristo, Mwana wa Mungu.
  • Injili ya Barnaba ni maandiko ya Apokrifa yasiyotambuliwa na makanisa makuu, yaliyochorwa kwa mtazamo unaofanana zaidi na mafundisho ya Kiarabu/Islami, yanayotetea Sheria na kupendelea nabii Muhammad.

Kwa hivyo, tofauti kuu ni uhalali wa kikanoni, fikra ya Kristo, na lengo la kitafsiri—Paulo anapigania wokovu wa imani ndani ya ukristo wa awali, huku Barnaba akilenga kuwekeza mafundisho ya “injili” kulingana na mtazamo wa kiislamu.
 
Nilimuuliza Askofu Grok Ai tofauti iliopo kubwa kati ya injili ya paulo na ya barnaba

Majibu na ushauri wangu kwa wakristo waipakuwe injili ya Barnaba ilisiyosemwa.

Mukiielewa mtaanza kupewa majina mabaya yakiwemo ninyi ni MAGAIDI.

Pitia huu mukhtasari.

Tofauti kati ya "Injili ya Paulo" na "Injili ya Barnaba" ni mada ya uchambuzi wa kina, hasa kwa sababu ya tofauti za kihistoria, za kiitikadi, na za maandishi zinazohusiana na vyanzo hivi. Kwanza, ni muhimu kufafanua kwamba hakuna maandishi yanayoitwa "Injili ya Paulo" katika Kanuni za Agano Jipya. Paulo wa Tarso aliandika barua (epistles) ambazo ziko katika Agano Jipya (kama Warumi, Wakorintho, Wagalatia), lakini hakuandika injili kwa maana ya hadithi ya maisha ya Yesu kama ilivyoandikwa na Mathayo, Marko, Luka, na Yohana. Kwa upande mwingine, "Injili ya Barnaba" ni maandishi ya kale yanayohusishwa na Barnaba, lakini yanachukuliwa kuwa ya apokrifa (yasiyo ya kanuni) na hayakubaliwi na Wakristo wengi kama sehemu ya Biblia ya Kikristo.
Hapa nitachambua tofauti kubwa kati ya mafundisho ya Paulo (kutoka barua zake) na yale yanayopatikana katika "Injili ya Barnaba," kwa kuzingatia muktadha wako wa awali kuhusu nadharia ya Paulo kama jasusi wa Kirumi na madai ya upagani. Nitazingatia tofauti za msingi za kiitikadi, yaliyomo, na muktadha wa kihistoria.

Maelezo ya Msingi
  1. Mafundisho ya Paulo:
    • Paulo aliandika barua nyingi (kama Warumi, 1 na 2 Wakorintho, Wagalatia, Wafilipi) ambazo ziko katika Agano Jipya, zilizolenga kufundisha, kushauri, na kuimarisha jamii za Kikristo za mapema.
    • Barua zake hazielezi maisha ya Yesu moja kwa moja kama Injili za Kanuni, bali zinazingatia teolojia ya Kikristo, kama umuhimu wa imani katika kifo na ufufuo wa Yesu, neema ya Mungu, na jukumu la Wamataifa katika Ukristo.
    • Paulo alisisitiza kuwa Wamataifa hawakuhitaji kufuata sheria za Kiyahudi (kama tohara au sheria za chakula) ili kuwa Wakristo (Galatia 3:28, Warumi 10:4).
  2. Injili ya Barnaba:
    • Hili ni maandishi ya apokrifa ambayo hayakubaliwi na Kanuni ya Kikristo, lakini yanapendwa na baadhi ya Waislamu kwa sababu yanalingana na baadhi ya mafundisho ya Kiislamu.
    • Maandishi haya yanadaiwa kuwa yaliandikwa na Barnaba, mwandani wa Paulo, lakini watafiti wa kihistoria wanakubali kwa kiasi kikubwa kuwa yaliandikwa baadaye, labda kati ya karne ya 14 hadi 16, na hayana uhusiano wa moja kwa moja na Barnaba wa karne ya 1.
    • Injili ya Barnaba inasisitiza kuwa Yesu alikuwa nabii, sio Mungu, na inadai kuwa Muhammad ndiye Mtume aliyetabiriwa na Yesu. Inapinga baadhi ya mafundisho ya Kikristo wa kanuni, kama Uungu wa Yesu na msalaba.

Tofauti za Msingi
Hapa kuna tofauti kubwa kati ya mafundisho ya Paulo (kutoka barua zake) na yale ya "Injili ya Barnaba":
  1. Hadhi ya Yesu:
    • Paulo: Alifundisha kuwa Yesu ni Kristo (Masihi), Mwana wa Mungu, na kwamba kifo chake msalabani na ufufuo wake ndio msingi wa wokovu (1 Wakorintho 15:3-4, Wafilipi 2:6-11). Alisisitiza umungu wa Yesu na jukumu lake kama Mwokozi.
    • Injili ya Barnaba: Inamudu Yesu kama nabii mkuu lakini anakataa kuwa yeye ni Mungu au Mwana wa Mungu. Inadai kuwa Yesu hakusulubiwa, bali Yuda Iskarioti alichukuliwa badala yake, jambo linalolingana na mafundisho ya Kiislamu (Qur’an 4:157). Injili hii inasisitiza umoja wa Mungu (tawhid) na inakataa Utatu.
  2. Utabiri wa Muhammad:
    • Paulo: Hakuna dalili yoyote katika barua za Paulo inayorejelea Muhammad au nabii yeyote atakayefuata Yesu. Badala yake, Paulo alizingatia kumalizika kwa utume wa Yesu kama kilele cha mpango wa Mungu (Waebrania 1:1-2, ingawa barua hii inahusishwa na Paulo kwa mjadala).
    • Injili ya Barnaba: Inadai wazi kuwa Yesu alitabiri Muhammad kama Mtume wa mwisho (sura 97 ya Injili ya Barnaba). Hili linafanana na mafundisho ya Kiislamu, lakini halipatikani katika maandishi ya Kikristo ya kanuni.
  3. Sheria za Kiyahudi (Torati):
    • Paulo: Alifundisha kuwa Wamataifa hawakuhitaji kufuata sheria za Kiyahudi (kama tohara, Sabato, au sheria za chakula) ili kuokolewa, bali wokovu unapatikana kwa imani katika Yesu (Galatia 2:16, Warumi 10:4). Hili lilisababisha migogoro na baadhi ya Wakristo-Wayahudi, lakini lilithibitishwa katika Mkutano wa Yerusalemu (Matendo 15).
    • Injili ya Barnaba: Inasisitiza umuhimu wa kufuata sheria za Kiyahudi, kama tohara, na inaonyesha Yesu akisisitiza umoja wa Mungu na kumudu Torati. Hili linafanana zaidi na mtazamo wa Wayahudi na Waislamu kuliko mafundisho ya Paulo.
  4. Msalaba na Ufufuo:
    • Paulo: Msalaba ni msingi wa mafundisho yake, akielezea kuwa kifo cha Yesu msalabani kilikuwa kafara ya dhambi za wanadamu, na ufufuo wake ni ushindi dhidi ya kifo (1 Wakorintho 15:3-4, Warumi 5:8-10).
    • Injili ya Barnaba: Inakataa kabisa kusulubiwa kwa Yesu, ikisema kwamba Yuda alisulubiwa badala yake, na Yesu alipaa mbinguni bila kufa. Hili linapingana kabisa na mafundisho ya Paulo na Injili za Kanuni.
  5. Mwelekeo wa Ulimwengu wote:
    • Paulo: Alilenga kufanya Ukristo uwe dini ya ulimwengu wote, akijumuisha Wamataifa bila kuwalazimisha kufuata Torati. Hili lilimudu kama mtume wa Wamataifa (Galatia 2:7-9).
    • Injili ya Barnaba: Inazingatia zaidi umoja wa Mungu na inaonekana kuwa na mwelekeo wa kufanana na mafundisho ya Kiislamu, ikikataa dhana ya Kikristo kama Utatu na kumudu Yesu kama nabii tu.
  6. Mamlaka za Kidunia:
    • Paulo: Alifundisha kuwa mamlaka za kidunia zimewekwa na Mungu na zinapaswa kuheshimiwa (Warumi 13:1-7), ingawa hili linaweza kueleweka katika muktadha wa kuwalinda Wakristo dhidi ya mateso.
    • Injili ya Barnaba: Haielezi moja kwa moja suala la mamlaka za kidunia, lakini inaonekana kushikilia mtazamo wa kumudu sheria za kimungu badala ya kumudu mamlaka za kidunia bila masharti.
  7. Asili na Uhalisia wa Maandishi:
    • Paulo: Barua zake (kama Warumi, Wakorintho, Wagalatia) zinakubaliwa na watafiti kuwa ziliandikwa katika karne ya 1 (miaka 50-60 BK) na ni za kweli kihistoria. Zimehifadhiwa vizuri na zinachukuliwa kama sehemu ya Agano Jipya.
    • Injili ya Barnaba: Maandishi haya yanachukuliwa kuwa ya apokrifa na wengi wa watafiti wanakisia yaliandikwa katika Zama za Kati (karne ya 14-16), labda na mwandishi wa Kiislamu au Kikristo aliyebadilika kuwa Mwislamu. Yanapingana na Injili za Kanuni na hazina ushahidi wa kihistoria wa kuwa za karne ya 1.

Muktadha wa Nadharia Yako
Kwa kuzingatia nadharia yako kwamba Paulo alikuwa jasusi wa Kirumi aliyepewa misheni ya kuingiza upagani katika Ukristo, hapa kuna jinsi "Injili ya Barnaba" inavyoweza kuonekana kuunga mkono mtazamo wako, lakini pia changamoto za nadharia hiyo:
  • Injili ya Barnaba na Upagani: Injili ya Barnaba inapinga mafundisho ya Paulo kuhusu Uungu wa Yesu na msalaba, na inaonekana kuunga mkono mtazamo wa Kiislamu wa Yesu kama nabii. Hii inaweza kuonekana kama ushahidi wa kuwa mafundisho ya Paulo yalipotosha Ukristo wa awali, kama unavyodai. Hata hivyo, kwa sababu Injili ya Barnaba iliandikwa karne nyingi baada ya Paulo, haiwezi kuchukuliwa kama chanzo cha kihistoria cha kuunga mkono nadharia ya jasusi wa Kirumi. Badala yake, inaonekana kama maandishi ya polemical yaliyoundwa kushindana na teolojia ya Kikristo ya kanuni.
  • Paulo kama Jasusi: Hakuna hati yoyote katika Injili ya Barnaba inayomudu Paulo kama jasusi wa Kirumi. Badala yake, inapinga mafundisho yake kwa kumudu Yesu kama nabii tu na kukataa msalaba, lakini haina ushahidi wa moja kwa moja wa nia ya Kirumi. Nadharia ya jasusi inabakia kuwa ya kinadharia bila ushahidi wa kihistoria.

Hitimisho
Tofauti kubwa kati ya mafundisho ya Paulo na "Injili ya Barnaba" ziko katika:
  1. Hadhi ya Yesu: Paulo anamudu Yesu kama Mungu na Mwokozi, wakati Injili ya Barnaba inamudu kama nabii tu.
  2. Msalaba na Ufufuo: Paulo anaona msalaba kama msingi wa wokovu, wakati Injili ya Barnaba inakataa kusulubiwa kwa Yesu.
  3. Sheria za Kiyahudi: Paulo alisisitiza neema badala ya Torati kwa Wamataifa, wakati Injili ya Barnaba inaunga mkono Torati.
  4. Utabiri wa Muhammad: Injili ya Barnaba inadai Yesu alitabiri Muhammad, jambo lisilopatikana katika mafundisho ya Paulo.
  5. Uhalisia wa Maandishi: Barua za Paulo ni za karne ya 1 na zinakubaliwa kihistoria, wakati Injili ya Barnaba ni ya baadaye na haikubaliwi kama ya kanuni.
Kuhusu nadharia yako ya Paulo kama jasusi, hakuna ushahidi wa kihistoria katika Injili ya Barnaba au vyanzo vingine vinavyothibitisha hili. Injili ya Barnaba inaweza kuonekana kama inapinga mafundisho ya Paulo, lakini hii inatokana zaidi na mwelekeo wake wa Kiislamu kuliko ushahidi wa kihistoria wa nia ya Kirumi.
Ikiwa unahitaji uchambuzi wa kina zaidi wa sura za Injili ya Barnaba au barua za Paulo, au ikiwa unataka nipitie vyanzo vyovyote, tafadhali niambie!

Do DeepSearch
Good analysis
 
Back
Top Bottom