Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
- Thread starter
- #21
Ya nini sasa. Hiyo sekta ndio dawa ya rushwa pia.Uwape vijana mkataba wa kazi ya kujenga.
10% watatoa?
Maana kila mtaka huduma anakuwa na kadi yake (Ujenzi Card) analipia taratibu/ kuweka akiba ujenzi yake ana weka maombi ndani ya saa 24 mambo mazuri; wataalamu chap wapo site.