PAYE kwa Wafanyakazi imepunguzwa kutoka 9% hadi 8%. Kodi kwenye marupurupu imeondolewa; hatua hii itaongeza mshahara!

Kodi iongezwe kwa wanaopata kuanzia mil 20
 
Hivi jamani nisaidieni nyie vijana wenye macho makali.....1% ya ya makato ya 9% ya mshahara wa sisi wanyonge wa 270,000/= ni kiasi gani....???
 
humu ndani jf watu hawajui asilimia moja wanaona kuuubwa ni kama hajapunguza
 
Mishahara Hakuna nyongezaaa woyoooooo.........
Jamani mama alishasema yeye na mwendazake ni kitu kimojaaaaa.... wafanyakazi vumilieni tuuuuu
alisema yeye na makufuli ni kimoja sio kweli mama ni mjanja hayupo na makufuli angalia pangua yake yote ya makufuli kaiondoa walikula rushwa makufuli kawafukuza yeye anawarudisha na bado
 
Mama yuko vizuri kumkichwa. Hajataka kupelekeshwa na hisia na kutaka cheap popularity eti aongeze tu mishahara ili ionekane "mwendazake" alikuwa na roho mbaya kutoongeza mishahara.

Turudie kusema ongezeko la mishahara kwa wafanyakazi siyo suala la kufa na kupona katika nchi yenye mahitaji lukuki tena ya msingi kama nchi yetu. Wafanyakazi hawatakufa kwa kutoongezewa mishahara, na pia ieleweke kuongeza mishahara maana yake ni kuwakamua zaidi walipa kodi. Mi ni muumini wa nchi kuongozwa rational, na ni irrational kuongeza mishahara from nowhere wakati kuna maelfu ya wadogo zetu hawana ajira mtaani, na wakati huo tunapambana kodi zetu zibebeke.

Na mama ametoa maamuzi rational. Hongera sana mama.
 
Uko sahihi kabisa
 
Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8%

Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa.

Kazi Iendelee!
Mmepiga mapambio wee mkidhani mshahara utaongezwa lakini ola..... wakati hayati JPM mlikuwa mkimtukana, kumbeza na kurushia kila aina ya laana.

Hapo wewe jiulize hiyo asilimia iliyopunguzwa kuotka 9% kwenda 8% yenye utofauti wa asilimia moja utanufaika na niniwakati aliyefikiriwa ni wa kima cha chini pekee?

Subirieni mchanganuo wa TRA kuhusiana na punguzo hilo. Furaha zote zimeishia kuloana na mvua
 
Ww hujaajiriwa nadhani, kuna taasisi zimejumuishwa na wanakula kodi kama kawa
 
Ndugu marupurupu yalikuwa yanakatwa kodi.Acha upotoshaji.
 
Hata kama nyongeza tunaongea ngapi? nadhani solution ni kuwa na wafanyakazi wachache kuboresha maslahi watu waki retire hakuna ku replace kazi ya ajira ni private sector ndio tupiganie. Maslahi bora itachochea ushindani na private sector ila kupata nyongeza sijui 10% haina faida yoyote ila labda ningetegema watu wa chini kupata nyongeza sio watu wajuu ingesaidia kupungua gap. watu wa chini walipe tax 5% wengine 8.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…