Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika!Kupunguza paye 1% na Retention 6% itaongeza kidogo salary.
Mbona kasema kwa wote?Ni kwa wale wanao pata mshahara kati ya 270,000 hadi 540,000.. wengine wote haiwahusu.
Aiseeee[emoji848][emoji848][emoji848]Kuhusu kuongezewa mishahara watumishi subirini Tena[emoji38]
alisema yeye na makufuli ni kimoja sio kweli mama ni mjanja hayupo na makufuli angalia pangua yake yote ya makufuli kaiondoa walikula rushwa makufuli kawafukuza yeye anawarudisha na badoMishahara Hakuna nyongezaaa woyoooooo.........
Jamani mama alishasema yeye na mwendazake ni kitu kimojaaaaa.... wafanyakazi vumilieni tuuuuu
Elfu mbili na mia sabaHivi jamani nisaidieni nyie vijana wenye macho makali.....1% ya ya makato ya 9% ya mshahara wa sisi wanyonge wa 270,000/= ni kiasi gani....???
Duh!.Hivi jamani nisaidieni nyie vijana wenye macho makali.....1% ya ya makato ya 9% ya mshahara wa sisi wanyonge wa 270,000/= ni kiasi gani....???
Uko sahihi kabisaMama yuko vizuri kumkichwa. Hajataka kupelekeshwa na hisia na kutaka cheap popularity eti aongeze tu mishahara ili ionekane "mwendazake" alikuwa na roho mbaya kutoongeza mishahara.
Turudie kusema ongezeko la mishahara kwa wafanyakazi siyo suala la kufa na kupona katika nchi yenye mahitaji lukuki tena ya msingi kama nchi yetu. Wafanyakazi hawatakufa kwa kutoongezewa mishahara, na pia ieleweke kuongeza mishahara maana yake ni kuwakamua zaidi walipa kodi. Mi ni muumini wa nchi kuongozwa rational, na ni irrational kuongeza mishahara from nowhere wakati kuna maelfu ya wadogo zetu hawana ajira mtaani, na wakati huo tunapambana kodi zetu zibebeke.
Na mama ametoa maamuzi rational. Hongera sana mama.
Mmepiga mapambio wee mkidhani mshahara utaongezwa lakini ola..... wakati hayati JPM mlikuwa mkimtukana, kumbeza na kurushia kila aina ya laana.Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8%
Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa.
Kazi Iendelee!
Unaelewa maana ya retention fee 6%??Kupunguza paye 1% na Retention 6% itaongeza kidogo salary.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nime-calculate hii kitu ni utani.
Ww hujaajiriwa nadhani, kuna taasisi zimejumuishwa na wanakula kodi kama kawaMarupurupu hayakua na kodi miaka mingi tu.
Marupurupu kama hela ya nyumba, chakula, nauli, safari nk hayakua na kodi.
Hiyo ya 8% ni ya watu wa kima cha chini cha laki 270,000.
Tunataka kodi ipungue kwa ambao mishahara wa digiti 7.
Kikubwa zaidi kodi ya ongezeko la thamani ipungue kutoka 18% hadi 15%.
Pili kodi ya kuagiza magari ipungue, watanzania tunaendesha mikweche ya miaka 20, 17 iliyopita. Tunataka kodi ipungue tusukume gari kali za miaka ya karibuni.
Kodi za gari Tanzania ni za ajabu Dunia. Nashukuru yule kamishna wa kodi za nje mlimtimua pale TRA, alikua anamshauri Magufuli ujinga. Mpumbavu sana. Alikua anajipangia kuongeza CIF ya magari ambayo alikua anajua anapoitoa mwenyewe. Nashukuru Magufuli alimshtukia baadae akamuondoa pale.
Haiwezekani watanzania tunaendesha magari ambayo huko kwa wenzetu yamepigwa marufuku. Gari ya miaka 20?
Punguza kodi za gari punguza ajali, punguza uchafuzi wa mazingira, okoa maisha.
Ndugu marupurupu yalikuwa yanakatwa kodi.Acha upotoshaji.Marupurupu hayakua na kodi miaka mingi tu.