Mkuu, hapo hapo. Hii kitu inanichanganya. Kodi ya ongezeko la thamani na PAYE ni kitu kimoja kwa wenye seven-digit salaries? Maana nimekuwa nikisikia wimbo huu wa kupunguziwa kodi, lakini kila nikiipigia hesabu nakuta ni 18%Hiyo ya 8% ni ya watu wa kima cha chini cha laki 270,000.
Tunataka kodi ipungue kwa ambao mishahara wa digiti 7.
Kikubwa zaidi kodi ya ongezeko la thamani ipungue kutoka 18% hadi 15%.
Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8%
Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa.
Kazi Iendelee!
Ni kwa wale wanao pata mshahara kati ya 270,000 hadi 540,000.. wengine wote haiwahusu.
Aliye nacho huongezewa hizo posho ni za wakubwa na si kwa wafanyakazi wa chini.Taasisi nyingi hazina OC na pia hawana posho Sasa hilo zinawasaidia Nini?Marupu rupu Khan ni watumishi gani wenye marupu rupu
Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Malipo ya PAYE yanatofautiana. Siku zote kwenye hili punguzo hawajawahi kuwagusa wanaopata kuanzia 720000. Hili kundi linalipa kodi kubwa sana. 25% nadhani ndio huwa wanakatwa kwa mwezi.Mbona kasema kwa wote?
mzahaAsilimia moja ya shilingi laki moja ni shilingi elfu moja!
Mzaha au siyo mzaha?
Kodi zinatofautiana Mkuu, pitia hii article ( ina ufafanuzi kutoka TRA wenyewe ) 👇👇Kwani hapo aliposema Mimi na nyinyi tutakatwa 8 badala ya 9 anamaanisha mshahara wa raisi ulikuwa unakatwa 9?View attachment 1770009
watanzania wengi weupe sana kwenye kuanalyse mambo,sasa retention fee inaogeza vipi mshahara?Kupunguza paye 1% na Retention 6% itaongeza kidogo salary.
Itapunguza deni la bodi au kumaliza kwa wale waliokuwa wanadaiwa kidogo.watanzania wengi weupe sana kwenye kuanalyse mambo,sasa retention fee inaogeza vipi mshahara?
Mengine ni vichekesho tu hivi mtendaji, MWALIM, na watumishi wengine katika idara mbali mbali Wana marupurupu yapi ambayo uingia kwenye mishara yao ,labda wale wa vyombo vya ulinzi,na watumishi ngazi za juuSerikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8%
Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa.
Kazi Iendelee!
Upo sahii Sasa , marupurupu Sio ya wafanyakazi ngazi za chiniNi haki yao kupinga kwa sababu hakuna kilichoongezeka kiuhalisia! Halafu ni watumishi wachache sana wanaopata marupurupu, kwa kifupi ni viongozi tu walio na marupurupu?
Hapa nadhani wanacheza na akili za wanamapambio. Wafanyakazi wengi wanakatwa 18%, hiyo 9% ambayo imekuwa 8% ni kundi dogo la wenye kima cha chiniSerikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8%
Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa.
Kazi Iendelee!
270,000 haitozwi, kiasi kinachozidi 270,000 ----to be precise kiasi kati ya 270000 na 360000 ndio kinatozwa 8%. Kwa ufupi it is absolutely a jokeHivi jamani nisaidieni nyie vijana wenye macho makali.....1% ya ya makato ya 9% ya mshahara wa sisi wanyonge wa 270,000/= ni kiasi gani....???
Rentation Fee haiwezi kuongeza salary mkuu, Retention Value Added Fee ni ongezeko la Mkopo kwa kila mwaka na siyo hela inayokatwa kutoka kwako bali ni ongezeko linalosababisha Mkopo usiisheKupunguza paye 1% na Retention 6% itaongeza kidogo salary.
Itasaidia makato ya ATMElfu mbili na mia saba
Mbili elfu na mia saba
2,700/=
Shilingi ya kitanzania.
Haitoshi kuondoa retention fee angerudisha na makato yawe 9% kama ya awali sasa hapo haina maana sanaKumbuka hii kitu inaitwa PAYE ( Pay As You Earn )
Hilo punguzo la kodi kama hupati kima cha chini cha mshahara halikuhusu, utaendelea kukatwa 18% na kuendelea.
Ila nimpongeze Rais anaonekana no mkweki na nia ipo.
Maana nadhani kuna wengine deni la bodi limeisha leo baada ya RF ya 6% kuondolewa.
Wafanyakazi masikini kupunguziwa 1% kwenye PAYE.
Madaraja, na Ajira ( Kama itakuwa kweli )
Kwa kuanzia tu, siyo mbaya sana.
Ujinga tuu bora wangepunguza na makatoItapunguza deni la bodi au kumaliza kwa wale waliokuwa wanadaiwa kidogo.
Wafanyakazi wao waliomba nini??Ujinga tuu bora wangepunguza na makato
ILO inatambua annual leave allowance,incentive na increments,Sasa hawa wakuu wetu na uchumi uchumi wetu wa Kati wakati hata leave allowance inawakamata na bado wanakopa,balance sheet ya wapi,kama watawala wangekuwa wanaendesha kampuni,imewashinda,sijui nini na nini.Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8%
Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa.
Kazi Iendelee!