Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mkuu, hapo hapo. Hii kitu inanichanganya. Kodi ya ongezeko la thamani na PAYE ni kitu kimoja kwa wenye seven-digit salaries? Maana nimekuwa nikisikia wimbo huu wa kupunguziwa kodi, lakini kila nikiipigia hesabu nakuta ni 18%Hiyo ya 8% ni ya watu wa kima cha chini cha laki 270,000.
Tunataka kodi ipungue kwa ambao mishahara wa digiti 7.
Kikubwa zaidi kodi ya ongezeko la thamani ipungue kutoka 18% hadi 15%.