LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Nampongeza mama Samia, anayo dhamira ya kweli ya kuipigania maslahi ya wafanyakazi...madaraja na vyeo ni hatua nzuri kwa wafanyakazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee, ni marupurupu gani hayo yaliyokuwa yanatozwa kodi?... kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa.
Aiseeee[emoji848]tunampongeza mh rais mama samia suruh kwa udhabiti na kutujali wafanyakaz hakik mei mos hii imekua nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]watanzania wengi weupe sana kwenye kuanalyse mambo,sasa retention fee inaogeza vipi mshahara?
Na unakuta kasoma na kaajiliwa..[emoji3][emoji3]watanzania wengi weupe sana kwenye kuanalyse mambo,sasa retention fee inaogeza vipi mshahara?
UsivunjikeeeeMmmh...moyo umevunjika
Kumi tena kwa mamaMama Mama huyooo mama Mama huyooo
Wasubirie uhakikiKuhusu kuongezewa mishahara watumishi subirini Tena[emoji38]
Tuendelee kujifukiza[emoji23][emoji23]
Nyie ndo mnalalamika mkienda kwenye Taasisi za serikali mkapewa huduma mbovu haya Mambo ya kuwalipa vizuri watumishi yanaleta motisha katika kazi mtu anakua na bidii kwa sababu kazi anayofanya inamfanya aishi maisha mazuri kwa kupewa stahiki zake kwa wakati.kuja na hoja eti Kuna watu Hawa ajira uko mtaani ndo iwe sababu ya kutowaongezea mishahara watumishi ni ufinyu wa upeo katika kufikiri. Kwa sababu serikali inaajiri kwa kufuata majirani na imishaajiri inajukumu la kuboresha mishahara na mazingira ya kazi kwa mtumishi wakeMama yuko vizuri kumkichwa. Hajataka kupelekeshwa na hisia na kutaka cheap popularity eti aongeze tu mishahara ili ionekane "mwendazake" alikuwa na roho mbaya kutoongeza mishahara.
Turudie kusema ongezeko la mishahara kwa wafanyakazi siyo suala la kufa na kupona katika nchi yenye mahitaji lukuki tena ya msingi kama nchi yetu. Wafanyakazi hawatakufa kwa kutoongezewa mishahara, na pia ieleweke kuongeza mishahara maana yake ni kuwakamua zaidi walipa kodi. Mi ni muumini wa nchi kuongozwa rational, na ni irrational kuongeza mishahara from nowhere wakati kuna maelfu ya wadogo zetu hawana ajira mtaani, na wakati huo tunapambana kodi zetu zibebeke.
Na mama ametoa maamuzi rational. Hongera sana mama.
Ignorance and brainwashed addiction drive the crooks into the lioness din in which the flesh is devoured without expectations.Malimbikizo ya Mishahara yanalipwa mwezi huu wa tano, pia ni jambo la kushukuru, lkn pia 1% imepunguzwa.
Ahsante mama.
Hapa kwenye kodi za magari ndo janga kuu kabisa.Kodi kubwa kuliko hata gharama za kutengeneza gari kiwandani.Marupurupu hayakua na kodi miaka mingi tu.
Marupurupu kama hela ya nyumba, chakula, nauli, safari nk hayakua na kodi.
Hiyo ya 8% ni ya watu wa kima cha chini cha laki 270,000.
Tunataka kodi ipungue kwa ambao mishahara wa digiti 7.
Kikubwa zaidi kodi ya ongezeko la thamani ipungue kutoka 18% hadi 15%.
Pili kodi ya kuagiza magari ipungue, watanzania tunaendesha mikweche ya miaka 20, 17 iliyopita. Tunataka kodi ipungue tusukume gari kali za miaka ya karibuni.
Kodi za gari Tanzania ni za ajabu Dunia. Nashukuru yule kamishna wa kodi za nje mlimtimua pale TRA, alikua anamshauri Magufuli ujinga. Mpumbavu sana. Alikua anajipangia kuongeza CIF ya magari ambayo alikua anajua anapoitoa mwenyewe. Nashukuru Magufuli alimshtukia baadae akamuondoa pale.
Haiwezekani watanzania tunaendesha magari ambayo huko kwa wenzetu yamepigwa marufuku. Gari ya miaka 20?
Punguza kodi za gari punguza ajali, punguza uchafuzi wa mazingira, okoa maisha.
Kwani mwanzo malimbikizo yalikuwa hayalipwi?Malimbikizo ya Mishahara yanalipwa mwezi huu wa tano, pia ni jambo la kushukuru, lkn pia 1% imepunguzwa.
Ahsante mama.
Nyerere baba yetu wa taifa alifanya mengi mazuri lakini kama ilivyo kwa binadamu hakuna mtu asiye na kasoro. Miongoni mwa kasoro hizo ni kujenga nchi ambayo serikali ndiyo kila kitu, na kuiita nchi hiyo ya wakulima na wafanyakazi. Matokeo yake serikali yetu ni miongoni mwa serikali kubwa sana kimatumizi, na zaidi ya asilimia 75 ya makusanyo ya TRA yanalipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali.Nyie ndo mnalalamika mkienda kwenye Taasisi za serikali mkapewa huduma mbovu haya Mambo ya kuwalipa vizuri watumishi yanaleta motisha katika kazi mtu anakua na bidii kwa sababu kazi anayofanya inamfanya aishi maisha mazuri kwa kupewa stahiki zake kwa wakati.kuja na hoja eti Kuna watu Hawa ajira uko mtaani ndo iwe sababu ya kutowaongezea mishahara watumishi ni ufinyu wa upeo katika kufikiri. Kwa sababu serikali inaajiri kwa kufuata majirani na imishaajiri inajukumu la kuboresha mishahara na mazingira ya kazi kwa mtumishi wake
Kweli amenot vibaya haijaondolewa bora ikitoka hii labda viela vya kodi ya nyumba na nauli itatubustKodi kwenye marupurupu itaangaliwa bado haijaondolewa
Hii 1% cut inawahusu watu wa kima cha chini. Kama wewe unapata mshahara kuanzia laki 540000. Endelea na kazi.Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8%
Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa.
Kazi Iendelee!
Hi ni moja ya ahadi yangu nitakokuwa mgombea wa Urais.......ha ha ha ha ha ha. Nimeliona miaka mingi sana hili. Tukipunguza Kodi ya MAGARI, Magari mengi yataongezeka, mafuta yatanunulika sana, vipuri, matengenezo na kadhalika. Importation tax ya magari nchi hii inaumiza mno. Japo madhara ya magari mengi ni uchafuzi wa mazingira.Marupurupu hayakua na kodi miaka mingi tu.
Marupurupu kama hela ya nyumba, chakula, nauli, safari nk hayakua na kodi.
Hiyo ya 8% ni ya watu wa kima cha chini cha laki 270,000.
Tunataka kodi ipungue kwa ambao mishahara wa digiti 7.
Kikubwa zaidi kodi ya ongezeko la thamani ipungue kutoka 18% hadi 15%.
Pili kodi ya kuagiza magari ipungue, watanzania tunaendesha mikweche ya miaka 20, 17 iliyopita. Tunataka kodi ipungue tusukume gari kali za miaka ya karibuni.
Kodi za gari Tanzania ni za ajabu Dunia. Nashukuru yule kamishna wa kodi za nje mlimtimua pale TRA, alikua anamshauri Magufuli ujinga. Mpumbavu sana. Alikua anajipangia kuongeza CIF ya magari ambayo alikua anajua anapoitoa mwenyewe. Nashukuru Magufuli alimshtukia baadae akamuondoa pale.
Haiwezekani watanzania tunaendesha magari ambayo huko kwa wenzetu yamepigwa marufuku. Gari ya miaka 20?
Punguza kodi za gari punguza ajali, punguza uchafuzi wa mazingira, okoa maisha.
Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8%
Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu