Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Majuzi tu nilikuwa naangalia documentary ya ‘Alexei Navalny’ baada ya kupona sumu aliyowekewa Russia na kwenda Germany kutibiwa.Wala usiwe na hofu, ccm miaka nenda rudi inaongoza nchi huku ikiwa na watu wenye uwezo mkubwa marekani,nchi za ulaya zenyewe zinasubiri
Ondoa shaka subiriaa tu ule neema
Ova
Maisha mazuri alivyokuwa nayo Germany, rich Russian backers aliokuwa nao jumlisha na utajiri wake binafsi.
Baada ya kupona akasema narudi Russia kuendeleza vita yangu ya kupigania democracy, huku akijua akitua tu airport wanae na mpaka leo yupo jela.
Binafsi nilimuona mpuuzi sana (sasa asifanishwe na njaa kali kama Lissu au Lema ambao wenye njaa ns hawana changamoto hizo).
Nikajiuliza sana na sijapata jibu zaidi ya kuamini anachoamini yeye na kuheshimu maamuzi yake (hata kama ya upuuzi) unarudi vipi sehemu ambayo wewe ni tegemeo; pamoja na wafuasi wote ukifungwa na movement yenyewe kwishnei. Sasa si bora angebaki na maisha yake ya amani.
That is Russia, walau wana watu wanao jaribu kuboresha maisha ya wananchi wao na wana competent people wenye uwezo kuongoza hizo wizara zao, katika harakati za kuboresha maisha ya wananchi wao pamoja na ufisadi uliopo huko. .
Hivi wewe unadhani waziri wa technology nchi za wenzetu ana muda wa umbea wa mitandaoni badala ya kufikiria nchi yake inaenda vipi sambamba na 4.0 Industrial Revolution.
Uchumi na uzalishaji huko kwenye digital technologies dunia ya leo, huo muda wa waziri kufuatilia mambo ya Twitter na Instagram angeutoa wapi
Nape ukimuuliza ‘big data’, ‘artificial intelligence’, ‘machine learning. RBA and their usefulness in ‘data analytics (even what it means) ni vitu gani na digital skills zipi vijana wanatakiwa kuwa nazo katika shahada zao hili automated software’s zisichukue nafasi zao au apiganie degres walau ziwape graduates skills sahihi za 4.0 industry Tanzania isiwe nyuma.
Hizi ndio sababu una waziri kama kutila na team yake ya upuuzi aliyounda.
Sasa mimi, wewe na ni hakina nani wakuweza ishauri serikali iliyojaa watu wapumbavu kama Sampuli ya watu hao.
Sio Nape tu 99% ya mawaziri ni vihiyo kwenye sector zao.. Well except ‘Dorothy Gwajima’ angekuwa afya, huyu mama ana miakili mingi sana.
Kwa nchi yetu gays huyo unaemshauri inabidi awe na hizo akili za kuelewa vinginevyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Kumekucha kijijini 👋👋👋