Paza sauti, taja taasisi za umma/serikali ambazo zinapaswa kufutwa, kubinafsishwa au kuunganishwa. Jana serikali imethubutu, lakini bado uchafu upo

Paza sauti, taja taasisi za umma/serikali ambazo zinapaswa kufutwa, kubinafsishwa au kuunganishwa. Jana serikali imethubutu, lakini bado uchafu upo

Wala usiwe na hofu, ccm miaka nenda rudi inaongoza nchi huku ikiwa na watu wenye uwezo mkubwa marekani,nchi za ulaya zenyewe zinasubiri
Ondoa shaka subiriaa tu ule neema

Ova
Majuzi tu nilikuwa naangalia documentary ya ‘Alexei Navalny’ baada ya kupona sumu aliyowekewa Russia na kwenda Germany kutibiwa.

Maisha mazuri alivyokuwa nayo Germany, rich Russian backers aliokuwa nao jumlisha na utajiri wake binafsi.

Baada ya kupona akasema narudi Russia kuendeleza vita yangu ya kupigania democracy, huku akijua akitua tu airport wanae na mpaka leo yupo jela.

Binafsi nilimuona mpuuzi sana (sasa asifanishwe na njaa kali kama Lissu au Lema ambao wenye njaa ns hawana changamoto hizo).

Nikajiuliza sana na sijapata jibu zaidi ya kuamini anachoamini yeye na kuheshimu maamuzi yake (hata kama ya upuuzi) unarudi vipi sehemu ambayo wewe ni tegemeo; pamoja na wafuasi wote ukifungwa na movement yenyewe kwishnei. Sasa si bora angebaki na maisha yake ya amani.

That is Russia, walau wana watu wanao jaribu kuboresha maisha ya wananchi wao na wana competent people wenye uwezo kuongoza hizo wizara zao, katika harakati za kuboresha maisha ya wananchi wao pamoja na ufisadi uliopo huko. .

Hivi wewe unadhani waziri wa technology nchi za wenzetu ana muda wa umbea wa mitandaoni badala ya kufikiria nchi yake inaenda vipi sambamba na 4.0 Industrial Revolution.

Uchumi na uzalishaji huko kwenye digital technologies dunia ya leo, huo muda wa waziri kufuatilia mambo ya Twitter na Instagram angeutoa wapi

Nape ukimuuliza ‘big data’, ‘artificial intelligence’, ‘machine learning. RBA and their usefulness in ‘data analytics (even what it means) ni vitu gani na digital skills zipi vijana wanatakiwa kuwa nazo katika shahada zao hili automated software’s zisichukue nafasi zao au apiganie degres walau ziwape graduates skills sahihi za 4.0 industry Tanzania isiwe nyuma.

Hizi ndio sababu una waziri kama kutila na team yake ya upuuzi aliyounda.

Sasa mimi, wewe na ni hakina nani wakuweza ishauri serikali iliyojaa watu wapumbavu kama Sampuli ya watu hao.

Sio Nape tu 99% ya mawaziri ni vihiyo kwenye sector zao.. Well except ‘Dorothy Gwajima’ angekuwa afya, huyu mama ana miakili mingi sana.

Kwa nchi yetu gays huyo unaemshauri inabidi awe na hizo akili za kuelewa vinginevyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Kumekucha kijijini 👋👋👋
 
DART na UDART zifutwe kabisa kwenye ueo wa dunia na wafanyakazi 1ake wote wafikishwe mahwkwmwni. Wote ni wezi.

Waachiwe wenye daladala binafsi hizo njia za mwendo kasi waziendeshe kibinafsi binafsi, wala wasipangiwe masharti, watajipangia wenyewe, mradi hawavunji sheria za nchi.
Hao wanaopigana pin na kuchomekeana huku wakiitana "Oya mchawi nyuma" Pumbavu kabisa wala hawana akili
 
Tatizo la Tanzania "Tunaamini sana kwenye titles, Dr, Mhandisi nk. bila kuangalia utendaji kazi, ajira za kujuana, wizi, uroho wa madaraka, unyang'anyi jambo ambalo hata ukitoa mchango ni kama unampigia mbuzi gitaa.
 
Hello!
Natanguliza shukrani kwa serikali kwa uamuzi makini wa kufuta baadhi ya taasisi zake na zingine kuziunganisha.
Nadhani ni mwaka jana kama sijakosea nilileta uzi wa kutaka serikali ifute au iunganishe baadhi ya taasisi zake kwakuwa zingine zimekuwa mzigo na zingine kukosa ufanisi.
Few months later nikasikia Mh. Rais ALISEMA kuwa ifanyike inspection ya mashirika ya umma ili ikiwezekana mengine yafutwe au yaboreshwe.
Jana tumeona utekelezaji.
Thanks.
NIDA ndio iliongoza kupigiwa kelele kwenye ule uzi, sasa natumaini mambo yamekaa sawa baada ya kuwekwa kapu moja na RITA.
Ila bado msako uendelee ,
Mimi kero yangu kwa sasa ni hizi mamlaka za usambazaji maji.
Dar es salaam miji mipya karibu yote haina maji.
Zifumuliwe haraka .
Haiwezekani leakage ya maji idumu kwa miaka 2 huku wao wanalipwa mshahara.
Nazijua leakage 2 ambazo zinaashiria kuwa hizi mamlaka zimejaa matahira wanaojua kunyoosha nguo na wanaomiliki ATM card mfukoni.
Same applies to Mamlaka ya Maji Dodoma Mjini. Wako fasta kukuunganishia mabomba ya maji na gharama ya kujiunga ni kubwa kinoma. Subiria hayo maji yatoke sasa, hewa tupu. Hizi kazi wawape mashirika binafsi, ama Hazina isiwalipe mishahara, wajilipe kutokana na makusanyo yao uone kama hawjafanya kazi.
 
Hello!
Natanguliza shukrani kwa serikali kwa uamuzi makini wa kufuta baadhi ya taasisi zake na zingine kuziunganisha.
Nadhani ni mwaka jana kama sijakosea nilileta uzi wa kutaka serikali ifute au iunganishe baadhi ya taasisi zake kwakuwa zingine zimekuwa mzigo na zingine kukosa ufanisi.
Few months later nikasikia Mh. Rais ALISEMA kuwa ifanyike inspection ya mashirika ya umma ili ikiwezekana mengine yafutwe au yaboreshwe.
Jana tumeona utekelezaji.
Thanks.
NIDA ndio iliongoza kupigiwa kelele kwenye ule uzi, sasa natumaini mambo yamekaa sawa baada ya kuwekwa kapu moja na RITA.
Ila bado msako uendelee ,
Mimi kero yangu kwa sasa ni hizi mamlaka za usambazaji maji.
Dar es salaam miji mipya karibu yote haina maji.
Zifumuliwe haraka .
Haiwezekani leakage ya maji idumu kwa miaka 2 huku wao wanalipwa mshahara.
Nazijua leakage 2 ambazo zinaashiria kuwa hizi mamlaka zimejaa matahira wanaojua kunyoosha nguo na wanaomiliki ATM card mfukoni.
Shirika za ugavi la umeme,hili lisambaratishwe vipande vitatu,pawepo na uzalishsji/ufuaji umeme,2.Usambazaji umeme.3.Huduma kwa wateja na ufuatiliaji ubora wa huduma.
 
Hello!
Natanguliza shukrani kwa serikali kwa uamuzi makini wa kufuta baadhi ya taasisi zake na zingine kuziunganisha.
Nadhani ni mwaka jana kama sijakosea nilileta uzi wa kutaka serikali ifute au iunganishe baadhi ya taasisi zake kwakuwa zingine zimekuwa mzigo na zingine kukosa ufanisi.
Few months later nikasikia Mh. Rais ALISEMA kuwa ifanyike inspection ya mashirika ya umma ili ikiwezekana mengine yafutwe au yaboreshwe.
Jana tumeona utekelezaji.
Thanks.
NIDA ndio iliongoza kupigiwa kelele kwenye ule uzi, sasa natumaini mambo yamekaa sawa baada ya kuwekwa kapu moja na RITA.
Ila bado msako uendelee ,
Mimi kero yangu kwa sasa ni hizi mamlaka za usambazaji maji.
Dar es salaam miji mipya karibu yote haina maji.
Zifumuliwe haraka .
Haiwezekani leakage ya maji idumu kwa miaka 2 huku wao wanalipwa mshahara.
Nazijua leakage 2 ambazo zinaashiria kuwa hizi mamlaka zimejaa matahira wanaojua kunyoosha nguo na wanaomiliki ATM card mfukoni.
Mimi sina shida katika kuunganisha shughuli za taasisi, ziunganishwe tu. Lakini kitu cha msingi ambacho Serikali ingefanya ni ku-BINAFSISHA mashirika yote yanayofanya biashara kama alivyoanza Ali Hasan Mwinyi mwaka 1993 kwa kuiuza TBL na TCC kisha Ben Mkapa kwa kuuza NBC na mashirika mengine zaidi ya 300. Kwa waliokuwapo miaka ya Mkapa yaani waliozaliwa 1980 backwards, watagundua kuwa uchumi wa Tanzania ulikuwa kwa kaisi kikubwa tulipouza mashirika na kuifanya sekta binafsi kuwa injini ya uchumi na majiri mkubwa. Uchumi wote aliojiunia JK na Magufuli msingi wake ni sera za B W Mkapa.

Duniani kote kasoro kwenye uchumi wa K-communist Serikali hazifanyi biashara, instead kazi ya Serikali inakuwa ni kutengeneza mazingira bora ya biashara, sera wezeshi na mwisho kusimamia (regualtory).

Nilishangaa nilipoona Magufuli anaanza kunyang'anya mashirika yaliyobinafsishwa enzi za Mkapa. Ile ilikuwa ni makosa. Serikali ingebaki kudai madeni kama yapo kwa walionunua
 
Kila siku nasema humu kubinafsisha NBC ni big success story...ajabu bado watu hawataki kukubali....na tunapaswa kumpa Mkapa maua yake
 
Serikali ikiachana na kitu kinachoitwa BODI kila kwenye mashirika ya umma, mambo mengi yatanyooka.

Hizi BODI ndio tatizo kwa kuwa mashirika mengi yanaendeshwa na vijana ila wana BODI ni wazee na wastaafu ambao wanaona vijana wanakosea kila wanachofanya kwa kuwa wao wanadhani mambo YANAPASWA kuendeshwa kama walivyokuwa wanafanya kazi wao...yaani baadhi yao hawaamini kwenye Ulimwengu wa digital bado wako analog world.

Vijana au wafanyakazi wa mashirika wanapoona wanakosolewa sana ndio huwa wanasema liwalo na liwe.

Ile morali ya kazi inakufa.

Kama ikibidi kuwe na BODI basi nafasi hizo wapewe vijana na waaminiwe.

Wazee waachiwe wale pensheni zao.
 
Hiyo serikali yenyewe tu inahitajika kubinafsishwa.. Tmuite mjerumani aturudishe enzi za ukoloni kuliko haya madhira tunayopata
 
Kila siku nasema humu kubinafsisha NBC ni big success story...ajabu bado watu hawataki kukubali....na tunapaswa kumpa Mkapa maua yake
One of big decision ambayo inaleta tija mpaka leo ilikuwa ni ubinafsishaji wa NBC 1997 kwa kuzaa NMB na NBC Ltd.

Wenye akili wanaangalia "multiplier effect" kwenye mtaji , wapumbavu wanaangalia mmiliki wa majengo.

Biashara ya "benki" ni kuuza hela wala siyo kumiliki majengo makubwa na nyumba za wafanyakazi
 
GPSA na NEST iwe Taasisi moja.

MSL ,TPA na TASAC iwe Taasisi moja na vitengo vingi .

TCAA na TAA iwe Taasisi moja.

TARURA na TANROAD iwe ni taasisi moja na vitengo lukuki .

TMDA na NIMR iwe Taasisi moja.

TRC na TAZARA iwe Taasisi moja na vitengo kibao.

USHAURI: Wanapofuta na ku'merge izo taasisi zinatakiwa zile na title za kudili na shughuli katika ngazi ya taifa ....
Mfano title NATIONAL ROAD CONSTRUCTION AND MAINTENANCE.
Hapo kwenye "TRC na TAZARA ziunganishwe" nimeshangaa sana tena sanaaaa
 
Shirika la posta waunganishwe na shirika la simu.
Tanroads na Tarura wawe shirika moja.
Ewura na REA wawe shirika moja.
 
HAZINA isiwalipe mishahara,wajilipe kutokana na MAKUSANYO Yao uone kama hawjafanya kazi.
Mkuu, mamlaka za maji wanalipa mishahara kwa kuzingatia makusanyo yao. Asilimia 30 ya makusanyo ni kwa ajili ya mishahara. Ndio sababu mhasibu wa DAWASA unakuta mshahara wake ni tofauti na wa mhasibu wa MWAUWASA mwenye sifa sawa kabisa na mhasibu wa DAWASA.
 
GPSA na NEST iwe Taasisi moja.

MSL ,TPA na TASAC iwe Taasisi moja na vitengo vingi .

TCAA na TAA iwe Taasisi moja.

TARURA na TANROAD iwe ni taasisi moja na vitengo lukuki .

TMDA na NIMR iwe Taasisi moja.

TRC na TAZARA iwe Taasisi moja na vitengo kibao.

USHAURI: Wanapofuta na ku'merge izo taasisi zinatakiwa zile na title za kudili na shughuli katika ngazi ya taifa ....
Mfano title NATIONAL ROAD CONSTRUCTION AND MAINTENANCE.
Unamaanisha nn unaposema NEST
 
Unamaanisha nn unaposema NEST
National e-Procurement System of Tanzania ni mfumo tu wa serikali kama ilivyo mengine ,ila huu kwa vile una'deal na procurement ungebaki chini ya mamlaka za procurement kama GPSA.
 
Back
Top Bottom