Ok nimekuelewa GPSA ni taasisi NeST ni mfumo.National e-Procurement System of Tanzania ni mfumo tu wa serikali na ilivyo mengine ,ila huu kwa vile una'deal na procurement ungebaki chini ya mamlaka za procurement kama GPSA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok nimekuelewa GPSA ni taasisi NeST ni mfumo.National e-Procurement System of Tanzania ni mfumo tu wa serikali na ilivyo mengine ,ila huu kwa vile una'deal na procurement ungebaki chini ya mamlaka za procurement kama GPSA.
SIDO,TIRDO, tena sido inapaswa kufutwa kabisa haina tijaCOASCO & NAO
Tanroad,taruraChanzo cha mambo yote haya ya kuwepo kwa mrundikamo wa taasisi za umma ambazo hazileti tija yoyote kwa wananchi ni KATIBA MBOVU tuliyonayo. Ili kuondoa matatizo yote haya ni kufanya Mabadiliko Makubwa kabisa ya Utaratibu/Mfumo wote wa Uendeshaji wa Serikali ( Government Overhaul and Restructuring), na mahali pekee pa kuanzia ni kupatikana kwa KATIBA MPYA itakayotokana na Fikra, Maoni na Mawazo ya Wananchi wengi zaidi).
Ndio !Ok nimekuelewa GPSA ni taasisi NeST ni mfumo.