Paza sauti, taja taasisi za umma/serikali ambazo zinapaswa kufutwa, kubinafsishwa au kuunganishwa. Jana serikali imethubutu, lakini bado uchafu upo

Paza sauti, taja taasisi za umma/serikali ambazo zinapaswa kufutwa, kubinafsishwa au kuunganishwa. Jana serikali imethubutu, lakini bado uchafu upo

National e-Procurement System of Tanzania ni mfumo tu wa serikali na ilivyo mengine ,ila huu kwa vile una'deal na procurement ungebaki chini ya mamlaka za procurement kama GPSA.
Ok nimekuelewa GPSA ni taasisi NeST ni mfumo.
 
Chanzo cha mambo yote haya ya kuwepo kwa mrundikamo wa taasisi za umma ambazo hazileti tija yoyote kwa wananchi ni KATIBA MBOVU tuliyonayo. Ili kuondoa matatizo yote haya ni kufanya Mabadiliko Makubwa kabisa ya Utaratibu/Mfumo wote wa Uendeshaji wa Serikali ( Government Overhaul and Restructuring), na mahali pekee pa kuanzia ni kupatikana kwa KATIBA MPYA itakayotokana na Fikra, Maoni na Mawazo ya Wananchi wengi zaidi).
Tanroad,tarura
 
Labda ungesema PPRA(yenye mfumo wa NeST) na GPSA ndio ziunganishwe
 
Back
Top Bottom