PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

Hawa polisi wanajiona kama wamefika, kuna mmoja alinifanyia mambo fulani ya hovyo sana halafu siku moja akaniomba zawadi za nilikotoka, nikampa soda za takeaway katoni moja, akaanza kuzinywa palepale tena kwa ulafi. Imagine ningeamua kumwekea sumu siku nyingine si angekufa
 
Hivi kuna justification gan ya kusema huyo jamaa alidhulumiwa na polisi? Na kama alidhulumiwa ndio ajichukulia sheria mkononi? Personally naamin yule jamaa ni jangiri tu wala sio muuza madin. Mnataka kuwaonea polisi bure
 
Gaidi wa kwenye keyboard, nyumbu mkubwa wewe
Shida ya polisi wetu wameshindwa kufanya majukumu yao wako busy na CHADEMA.

Mbowe gaidi, tangu lini? CHADEMA wakifanya mkutano kidogo tu polisi wameshafika.

Fanya zoezi dogo tu
Chukua watu 6 wavae tshirt za CHADEMA halafu watembee kwa pamoja. Uone kama hawajakamatwa.

Chukua watu 6 tena wavae T-shirt za CCM uone kama watakamatwa.
Polisi badala walinde sheria wao ndiyo wanavunja sheria.
 
Ivi kuna justification gani ya kusema huyo jamaa alidhulumiwa na polisi ? Na kama alidhulumiwa ndio ajichukulia sheria mkononi ? Personally naamini yule jamaa ni jangiri tu wala sio muuza madini. Mnataka kuwaonea polisi bure
Haujawahi kupitia kwenye mateso na kadhia za polisi. Ukishapitia kwenye kadhia ya hawa watu, kama unaroho nyepesi lazima uwe kama Hamza tu.

Ujiulize, kwanini hakuua raia wakati walikuwa wengi?

Kesho sikiliza kipindi cha Leo tena Clouds.

Mtu unafungwa miaka 10 halafu unabainika hauna hatia. Huo muda nani anaufidia?

Siyo huyo tu yupo mwingine naye alisingiziwa ameua, amekaa jera zaidi ya miaka 10 akaachiwa huru. Huo muda nani anafidia?

Uchunguzi gani unafanyika zaidi ya miaka 10?
 
Askari wa bongo waoga sana, basi tu wanajua kuonea raia..
Pili niliona hata ulengaji wao wa shabaha ni wa mashaka sana.. jamaa alitoka wazi kweupe kabisa bila kizuizi ila ilichukua zaidi ya dakika mbili kwa risasi za askari kumpata, na milio iliyosikika ni zaidi ya risasi 50 zilipotea.
 
Wamezoea kuwadaka kina Zitto wasio na silaha, sasa wamekutana na kidume kikawapa tuition kidogo
 
Kajificha kichwa tu, huku mata..ko na mkvndv wake viko nje. We mwache baada ya siku 3 hutomuona tena hapa jukwaani na haitohitajika mtu yoyote kuuliza kuhusu kupotea kwake.
Aah! Mfia nchi mmoja.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† Mnatengeza scenario ya kumfanya Hamza innocent, pumbavu kabisa
 
Muiraq anakuambia
Ukikutana na nyoka na Mrangi porini. Piga Mrangi
Una amini mimi mrangi
πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila polisi popote pale duniani hawez pendwa
Inajulikana kwanini?

Ila haitakiwi tufike mahali mtu kapoteza uhai
Tuanze kufurahia hii siyo sawa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…