PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

 


Na hiyo ndio tafsiri mojawapo ya ugaidi. Kwamba kuua asiyehusika wala asiye na hatia.

Ndugu za hau askari alowaua watamlilia Mungu siku zote na laana itaenda kwa wa huyo Gaidi Hamza Msomali.

Dhambi kubwa sana !
 
Gaidi angeua wale raia wote kwenye daladala, magaidi wakifanya tukio wanajitahidi liwe la ukubwa wa kusikika dunia nzima, gaidi anakuwa na bastola ndogo!!!!!.. magaidi lazima wawe na mabomu akilipua hamna msalia mtume.


Inategemea bana!

Mbona kule Nigeria magaidi wanateka mabinti wanafunzi tu mara nyingi badala ya kuteka yeyote mchanganyiko wa wanawake watu wazima na wanaume??

Kwa hiyo inategemea msikariri!

Acheni kujaribu kuwatoa watu kwenye reli.
 
masoko ya madini yapo

Mtu anadhulumiwaje?


Halafu Kwanini asiende kuwashtaki kwenye vyombo vya haki kama hayo madai ni ya kweli?

Mimi siamini kama sababu ni hayo madai ya kudhurumiwa.

Ngoja tusubiri taarifa ya uchunguzi.
 
mbona serikali inasema waliofariki ni watatu (3) afu ww kwa story yako naona wanne (4) .. tumwamini yupi ssa?
 

Umepamba kweli,
 
Hizo sifa kuwa ni mtu mwema,means nothing to majority of us,
Kwa ufupi polisi wote ni "licenced robbers"inategemea umeingia vipi kwenye himaya yao,
Pole kwa wafiwa,
 
Kwa hawa wafunga buti sio jambo la kushangaa jamaa Angus

Akili zao huwa wanaziacha kambini kwao. INAWEZEKANA KABISA
 
Huijui silaha na shambulio la kushtukiza ndo maana waongea utumbo kama huu.
 
Ukishakuwa Askari jua kifo chaweza tokea dakika yoyote ile
 
Na kuna msemo kuwa chuma inalindwa Kwa chuma. Ndomaana wakiwa na silaha wanatembea wawili wawili.Na kuna stance pia ambayo wanakaa askari ni ngumu kushambulia wawili Kwa pamoja. Otherwise huko chuoni sikuhizi wanafundisha mataputapu
Inashangaza sana ila ndo hivyo Pole Kwa familia zao wapumzike pema.

Kuna sehemu nimesoma na yule askari binafsi (mlinzi) eti alichelewa kukoki ndo Hamza akambabatiza. Inakùwaje askariimeshasikika milio kadhaa ya risasi bado hajakoki tu kuna kauzembe fulani Kwa mtazamo Wang
 
mbona serikali inasema waliofariki ni watatu (3) afu ww kwa story yako naona wanne (4) .. tumwamini yupi ssa?

Wa 3 wa jeshi la police wa 4 ni wa kampuni ya ulinzi binafsi
Kumuongezea taarifa tu ni kwamba wawili ni beret nyekundu ( FFU) ndo walikua na silaha na mmoja ni trafiki na mwingine ndo mlinzi wa SGA
 
Tukio baya sana hili
We must raise our voices for it kama Kuna shida sehem iwe solved sio Upotevu wa Kijana kama huyu kirahisi hivi. Ni bahati mbaya sana alikuwa tegemeo kubwa wa familia

R.I.P Mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…