Unaweza kuwa na lundo la videos ambazo huwezi kuja kuziangalia tena, huwa ni sawa na makorokoro,
Pc ama hata simu yako ni sawa na chumba, ni muhimu iwe na nafasi ya kupumua, toa makorokoro hayo chini ya uvungu ili kuwe na sehemu ya kupumua na kuwe na urahisi wa kuperuzi
Your browser is not able to display this video.
karibu kusoma post za nyuma :
a) Kama unatumia winrar hakikisha unatumia toleo jipya lasivyo waweza kuwa muhanga wa virusi vinavyosambazwa, nimeelekeza namna ya kutumia winrar toleo jipya bure >>soma uzi