Hahahaha tatzo uko biased Sanaa huez elewa ingekua NI Ivo pcm isingekua inakua na zero nyingi kulko PCBNdio maana nakwambia usifananishe hizo people 2 hazifanani PCM cheating kwa kwenda mbele hayupo tayari kuyapakia madude kichwani PCB ni Wazee wa kupakia hakuna janjajanja za kuingia na kidesa Mambo yanashuka directly from within the middle brain, sijui unanielewa?
Hujawahi kabisa kuingia na calculator kwenye Pepa la Pure Maths? Km kweli hujawahi kuingia na calculator kwenye Pepa la Pure Maths basi nakubariana na Wewe kwamba Wewe ni Pure T.O Ila km uliingia na calculator Babu acha kujidanganya Wewe ni Cheater tuKama ma T.O huwa wanatumia Caluu may be I'm the real T.O advance yangu sijawai cheat kwa caluu
Ila nimeeleweka au sio?Hahahaha tatzo uko biased Sanaa huez elewa ingekua NI Ivo pcm ingekua inakua na zero nyingi kulko PCB
Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.
Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.
Cha ajabu kaenda form 6 PCB kaondoka na 2 ya 11 nimejiuliza sana dogo alichemka wapi na alikua vizuri tu PCB.
Haya tuje upande wa pili madogo wanaoenda kusoma PCM wengi wanatoka form 4 na ufaulu mbaya mbaya mfano 2 ya 18 ila akimaliza six unakuta ana 1 ya 5 au 4.
Hapa nazidi kujiuliza KUNA NINI KINAZUIA MADOGO WANAOPATA MATOKEO MAZURI FORM 4 FORM 6 PCB WANACHEMKA.
Kila paper nmeingia nayo lakini for normal calculations sio nmesave formula kwenye calculatorHujawahi kabisa kuingia na calculator kwenye Pepa la Pure Maths? Km kweli hujawahi kuingia na calculator kwenye Pepa la Pure Maths basi nakubariana na Wewe kwamba Wewe ni Pure T.O Ila km uliingia na calculator Babu acha kujidanganya Wewe ni Cheater tu
Mkuu wewe umesoma PCB ndo maana unaamin ni ngumu Zaid ya comb zoteIla nimeeleweka au sio?
Hata jirani yangu Mangi angegonga A ya Maths kama mchawi ni calculator.Maths mchawi calculator biology mchawi UBONGO wako, sijui unanielewa?
Mkuu umesema kweli apo1. Ego
2. Pcb ni combination yenye masomo marefu mno kuliko combination yoyote ile kwa advance na muda wa miaka 2 kama hautoutumia ipasavyo basi hautoshi.
3.kukosa technique nzuri ya kusoma masomo yao na kuelewa wengi wanaishia kukariri mwisho wa siku wanafeli. i.e kuna vitabu vya marehemu elias kihombo vya physics kwa advance jamaa alivi summarize vizuri sana vile vitabu kana kwamba mwanafunzi anakuwa na uelewa mkubwa atakapojifunza kupitia hivyo ila niliskia vilifungiwa sijajua ni kwa sababu zipi.
n.b
kulingana na mimi advance kwa sasa haina faida kama umejaaliwa uwezo dogo akimaliza bora achague chuo hasa kwa kozi za engineering na afya atatoka vizuri sana na kuna baadhi ya vyuo vya serikali vinawadhamini wanafunzi waliofaulu vizuri kisha wakachagua kwenda katika vyuo hivyo.
Ndio nimekwambia mchawi calculator O level hugongi A ya Maths ukagonge A ya Maths advance tena sio BAM ni Pure, sijui unanielewa?Hata jirani yangu Mangi angegonga A ya Maths kama mchawi ni calculator.
Nimekuorodheshea hapo EGM PGM PCM CBG PCB zote nimezisoma kwa wakati tofauti kwa hio naelewa usipishane na usichokielewaMkuu wewe umesoma PCB ndo maana unaamin ni ngumu Zaid ya comb zote
Uko sahihi.physics na hesabu ni masomo yanayo enda pamoja tofauti physics na biology.
Nakupa A ya hesabu ni simple kuliko A ya biology
Mzee yawezekana umepiga ila umetumia nguvu kubwa na sijui kama ulifanikiwa kwenye izo maana apo pcm ingekua nyepec usingepiga nyingine au wewe NI mwalimu WA tuition ila math mchawi wewe na kucheza na namba kama nadanganya nambie izo topic calculator unafanya nini integration,differentiation,trig,set,code 1 na 2 , hyperbolic,proba kama sio kuzidsha na kutoa vingine vyote unafanya weweNimekuorodheshea hapo EGM PGM PCM CBG PCB zote nimezisoma kwa wakati tofauti kwa hio naelewa usipishane na usichokielewa
๐๐๐Mzee me olevel nmesoma ad additional math ambayo ni bam KO sikuelewi unasema nini maana nmefaulu bila calculator piaNdio nimekwambia mchawi calculator O level hugongi A ya Maths ukagonge A ya Maths advance tena sio BAM ni Pure, sijui unanielewa?
Wewe scientific calculator unaijua kweli Wewe kwanza Six umehitimu Mwaka gani? Hii noma Wazee sitaki kua Mwalimu hapaMzee yawezekana umepiga ila umetumia nguvu kubwa na sijui kama ulifanikiwa kwenye izo maana apo pcm ingekua nyepec usingepiga nyingine au wewe NI mwalimu WA tuition ila math mchawi wewe na kucheza na namba kama nadanganya nambie izo topic calculator unafanya nini integration,differentiation,trig,set,code 1 na 2 , hyperbolic,proba kama sio kuzidsha na kutoa vingine vyote unafanya wewe
Wote tumesoma hio kwa kutumia 4 figure na Compass lako lenye triangle la kuchora michoro six umehitimu Mwaka gani ili niue mjadala huu๐๐๐Mzee me olevel nmesoma ad additional math ambayo ni bam KO sikuelewi unasema nini maana nmefaulu bila calculator pia
2018 ndo memalza form4Wote tumesoma hio kwa kutumia 4 figure na Compass lako lenye triangle la kuchora michoro six umehitimu Mwaka gani ili niue mjadala huu
Basi ngoja nikuache Mimi sio level yako yaan unamaliza form 4 Mimi nilishamaliza miaka 20+ kabla yako kwa hio usijifananishe na Mimi2018 ndo memalza form4
Mzee natumia mpaka saiv ila nlibase kusoma sio kutafta trick za kusolve hesabu kwa calculator Mzee na shule yangu wote tulikua tunasolve izo trick wamekuja tuuzia week kabla ya necta kwaajir ya prac lakini sikununua na sikutumia prac nimefanya mwenyew mzeeWewe scientific calculator unaijua kweli Wewe kwanza Six umehitimu Mwaka gani? Hii noma Wazee sitaki kua Mwalimu hapa
Wewe mdogo wangu kuna vingi hujafunza Ila nimegundua sio kosa lakoMzee natumia mpaka saiv ila nlibase kusoma sio kutafta trick za kusolve hesabu kwa calculator Mzee na shule yangu wote tulikua tunasolve izo trick wamekuja tuuzia week kabla ya necta kwaajir ya prac lakini sikununua na sikutumia prac nimefanya mwenyew mzee