Fifteen
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 512
- 594
Hahahaha tatzo uko biased Sanaa huez elewa ingekua NI Ivo pcm isingekua inakua na zero nyingi kulko PCBNdio maana nakwambia usifananishe hizo people 2 hazifanani PCM cheating kwa kwenda mbele hayupo tayari kuyapakia madude kichwani PCB ni Wazee wa kupakia hakuna janjajanja za kuingia na kidesa Mambo yanashuka directly from within the middle brain, sijui unanielewa?