PCB siyo tahasusi ya mchezo

PCB siyo tahasusi ya mchezo

Ndio maana nakwambia usifananishe hizo people 2 hazifanani PCM cheating kwa kwenda mbele hayupo tayari kuyapakia madude kichwani PCB ni Wazee wa kupakia hakuna janjajanja za kuingia na kidesa Mambo yanashuka directly from within the middle brain, sijui unanielewa?
Hahahaha tatzo uko biased Sanaa huez elewa ingekua NI Ivo pcm isingekua inakua na zero nyingi kulko PCB
 
Kama ma T.O huwa wanatumia Caluu may be I'm the real T.O advance yangu sijawai cheat kwa caluu
Hujawahi kabisa kuingia na calculator kwenye Pepa la Pure Maths? Km kweli hujawahi kuingia na calculator kwenye Pepa la Pure Maths basi nakubariana na Wewe kwamba Wewe ni Pure T.O Ila km uliingia na calculator Babu acha kujidanganya Wewe ni Cheater tu
 
Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.

Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.

Cha ajabu kaenda form 6 PCB kaondoka na 2 ya 11 nimejiuliza sana dogo alichemka wapi na alikua vizuri tu PCB.

Haya tuje upande wa pili madogo wanaoenda kusoma PCM wengi wanatoka form 4 na ufaulu mbaya mbaya mfano 2 ya 18 ila akimaliza six unakuta ana 1 ya 5 au 4.

Hapa nazidi kujiuliza KUNA NINI KINAZUIA MADOGO WANAOPATA MATOKEO MAZURI FORM 4 FORM 6 PCB WANACHEMKA.

1. Ego

2. Pcb ni combination yenye masomo marefu mno kuliko combination yoyote ile kwa advance na muda wa miaka 2 kama hautoutumia ipasavyo basi hautoshi.

3.kukosa technique nzuri ya kusoma masomo yao na kuelewa wengi wanaishia kukariri mwisho wa siku wanafeli. i.e kuna vitabu vya marehemu elias kihombo vya physics kwa advance jamaa alivi summarize vizuri sana vile vitabu kana kwamba mwanafunzi anakuwa na uelewa mkubwa atakapojifunza kupitia hivyo ila niliskia vilifungiwa sijajua ni kwa sababu zipi.

n.b
kulingana na mimi advance kwa sasa haina faida kama umejaaliwa uwezo dogo akimaliza bora achague chuo hasa kwa kozi za engineering na afya atatoka vizuri sana na kuna baadhi ya vyuo vya serikali vinawadhamini wanafunzi waliofaulu vizuri kisha wakachagua kwenda katika vyuo hivyo.
 
Hujawahi kabisa kuingia na calculator kwenye Pepa la Pure Maths? Km kweli hujawahi kuingia na calculator kwenye Pepa la Pure Maths basi nakubariana na Wewe kwamba Wewe ni Pure T.O Ila km uliingia na calculator Babu acha kujidanganya Wewe ni Cheater tu
Kila paper nmeingia nayo lakini for normal calculations sio nmesave formula kwenye calculator
 
1. Ego

2. Pcb ni combination yenye masomo marefu mno kuliko combination yoyote ile kwa advance na muda wa miaka 2 kama hautoutumia ipasavyo basi hautoshi.

3.kukosa technique nzuri ya kusoma masomo yao na kuelewa wengi wanaishia kukariri mwisho wa siku wanafeli. i.e kuna vitabu vya marehemu elias kihombo vya physics kwa advance jamaa alivi summarize vizuri sana vile vitabu kana kwamba mwanafunzi anakuwa na uelewa mkubwa atakapojifunza kupitia hivyo ila niliskia vilifungiwa sijajua ni kwa sababu zipi.

n.b
kulingana na mimi advance kwa sasa haina faida kama umejaaliwa uwezo dogo akimaliza bora achague chuo hasa kwa kozi za engineering na afya atatoka vizuri sana na kuna baadhi ya vyuo vya serikali vinawadhamini wanafunzi waliofaulu vizuri kisha wakachagua kwenda katika vyuo hivyo.
Mkuu umesema kweli apo
 
Hata jirani yangu Mangi angegonga A ya Maths kama mchawi ni calculator.
Ndio nimekwambia mchawi calculator O level hugongi A ya Maths ukagonge A ya Maths advance tena sio BAM ni Pure, sijui unanielewa?
 
Mkuu wewe umesoma PCB ndo maana unaamin ni ngumu Zaid ya comb zote
Nimekuorodheshea hapo EGM PGM PCM CBG PCB zote nimezisoma kwa wakati tofauti kwa hio naelewa usipishane na usichokielewa
 
physics na hesabu ni masomo yanayo enda pamoja tofauti physics na biology.
Nakupa A ya hesabu ni simple kuliko A ya biology
Uko sahihi.
Msuli wa Biology unahitaji muda wake mwingi sana wa ziada kiasi kwamba ukifosi uwe mtabe kwenye biology itakufanya upoteze kwenye masomo mengine ya Physics na Chemistry
 
Nimekuorodheshea hapo EGM PGM PCM CBG PCB zote nimezisoma kwa wakati tofauti kwa hio naelewa usipishane na usichokielewa
Mzee yawezekana umepiga ila umetumia nguvu kubwa na sijui kama ulifanikiwa kwenye izo maana apo pcm ingekua nyepec usingepiga nyingine au wewe NI mwalimu WA tuition ila math mchawi wewe na kucheza na namba kama nadanganya nambie izo topic calculator unafanya nini integration,differentiation,trig,set,code 1 na 2 , hyperbolic,proba kama sio kuzidsha na kutoa vingine vyote unafanya wewe
 
Ndio nimekwambia mchawi calculator O level hugongi A ya Maths ukagonge A ya Maths advance tena sio BAM ni Pure, sijui unanielewa?
😂😂😂Mzee me olevel nmesoma ad additional math ambayo ni bam KO sikuelewi unasema nini maana nmefaulu bila calculator pia
 
Mzee yawezekana umepiga ila umetumia nguvu kubwa na sijui kama ulifanikiwa kwenye izo maana apo pcm ingekua nyepec usingepiga nyingine au wewe NI mwalimu WA tuition ila math mchawi wewe na kucheza na namba kama nadanganya nambie izo topic calculator unafanya nini integration,differentiation,trig,set,code 1 na 2 , hyperbolic,proba kama sio kuzidsha na kutoa vingine vyote unafanya wewe
Wewe scientific calculator unaijua kweli Wewe kwanza Six umehitimu Mwaka gani? Hii noma Wazee sitaki kua Mwalimu hapa
 
😂😂😂Mzee me olevel nmesoma ad additional math ambayo ni bam KO sikuelewi unasema nini maana nmefaulu bila calculator pia
Wote tumesoma hio kwa kutumia 4 figure na Compass lako lenye triangle la kuchora michoro six umehitimu Mwaka gani ili niue mjadala huu
 
Kwanz mwandishi ni boya kwani sisi tunaopata two ni wajinga nini mavi kabisa huyu boya kufaul advance ni jitihada zako plus akili ni sawa tu na cbg ushawai ona wanafaulu kuzid one ya 7 hawadi hap wakijitahid ni 6 tena wachache ni kwamba kombi imekaaa kimazabe haielewek
 
Wewe scientific calculator unaijua kweli Wewe kwanza Six umehitimu Mwaka gani? Hii noma Wazee sitaki kua Mwalimu hapa
Mzee natumia mpaka saiv ila nlibase kusoma sio kutafta trick za kusolve hesabu kwa calculator Mzee na shule yangu wote tulikua tunasolve izo trick wamekuja tuuzia week kabla ya necta kwaajir ya prac lakini sikununua na sikutumia prac nimefanya mwenyew mzee
 
Wewe mdogo wangu kuna vingi hujafunza Ila nimegundua sio kosa lako
 
Back
Top Bottom