P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
Biology ni ndefu, ina mambo mengi haielezeki, majina magumu magumu, mechanism za kutosha, michoro n.k🤣 🤣🤣🤣 Ila KO wangesema bios waondoe prac ungekubali kwasabu ni mzigo? Bam inamateso gani mkuu hujui hesabu Tu Io bam nmesoma as additional mathematics olevel bila calculator na nmefaulu math sio ya kila mtu na ukijua umejua kwel hip ndo Tofauti coz wanaojua math wamerelax ndo maana mnaona ni rahisi akat bam inawatoa jasho
inabidi uelewe na kukariri
ndo maana ni ya moto, huwezi kuifananisha na hesabu