Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

Nakumbusha tu kwamba vyuo vinavyofanya MD program hapa TZ havifiki 10 kwa idadi so let's say at maximum chuo kimoja kina hold 300 students each year which means TZ nzima ni watU 3000 tu watasoma MD kwa huo mwaka



ELIMU NI NGUMU
ELIMU NI UTAPELI
ELIMU NI KIKWAZO CHA MAENDELEO BINAFSI
 
Sure kisaikolojia wanafunz weng wa serikali hawapo vizur na wengi hawajui mbinu za kugaulu.. mtu anasoma kama chizi full kukesha matokeo yakija sasa[emoji28]
Advance kuna jamaa alikuwa anasoma huyoo., kameza BS.
Akiulizwa swali anatiririka kama ilivyo kwenye BS.

Tukasema mwamba ndiye huyu sasa.

Subiri matokeo sasa,,,



BS- ni kitabu kinaitwa, Biological Science.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…