- Thread starter
- #341
Naomba uziweke hapa au unitumie inbox mkuuMkuu ni kweli, kwa mfano Kyela na Tukuyu/Rungwe ni ngumu kushinda wakuja maana kuna mtu ananadi kampeni kwa kinyakyusa yaani unaona kabisa kuna ukabila hapa...
japo nimeondoka kule miaka mingi lakini wanyakyusa mambo kama ya Arusha utoke huko uchukue jimbo ni ngumu...... nina clips hapa za uchaguzi wa Rungwe na Kyela yaani ni kinyakyusa watu hawajui kama kuna kiswahili.