DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Mbunge wa Rungwe anayetetea nafasi ya Ubunge Antony Mwantona awagaragaza Sophia Mwakagenda ambaye ni Covid pamoja na Richard Kasesela.
Range Rover festivalWapuuzi wanajua mkoa unaendeshwa kwa matamasha..!!
Tupo hapa kusubiri milio
Mwenye hili jimbo analitendea haki sana wakimkata duh nitashangaa sana mimiSimiyu
Mkuu ni kweli, kwa mfano Kyela na Tukuyu/Rungwe ni ngumu kushinda wakuja maana kuna mtu ananadi kampeni kwa kinyakyusa yaani unaona kabisa kuna ukabila hapa...Wewe ni mpumbavu,
Nimesema kuna baadhi ya sehemu.
Mathalani majimbo yote ya Uchagani, uhayani, mbeya, kigoma nk huwez kushinda kama sio mzawa.
Kwa akili yako Arusha ni Uchagani
Toeni updatesTupeane taarifa kuhusu watia nia wa ubunge waliopitishwa kugombea majimbo kwa tiketi ya CCM baada ya kushinda kura za maoni za wajumbe.
Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Kinondoni - Tarimba Abbas
Kivule - Ojambi Masaburi
Ilala - Musa Zungu
Chamazi - Abdallah Chaurembo
Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma (Mwana FA)
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu
Korogwe Vijijini - Timotheo Mzava
Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera
Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara
Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Godwin Oloyce Mollel (Mwanri)
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola
Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu
Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu
Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange
Makete - Festo Sanga
Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan
Morogoro Kusini - Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale)
Lindi
Mchinga - Salma Kikwete (mgombea pekee)
Mtama - Nape Moses Nauye (Jemedari Said)
Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Kyerwa - Khalid Nsekela
Ngara - Abhajumbe Murakoze Cyane
Dodoma
Dodoma Mjini - John Malecela
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai
Kondoa kusini - Mariam Ditopile
Kundoa vijijini - Ashatu Kijaji
IRINGA
Iringa mjini - Fadhili Fabian Ngajilo
Mafinga mjini - Dickson Lutevele
Mufindi Kaskazini - Lukman Mehrab
Mufindi Kusini - David Kihenzile
Pwani
Chalinze - Ridhwan Kikwete (mgombea pekee)
Rufiji - Mohamed Mchengerwa
Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda
TABORA
Nzega - Hussein Bashe
Sikonge - Munde Tambwe
GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko
MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka
KIGOMA
Kigoma Mjini - Kilumbe Shaban Ng'enda
Kasulu Mjini - Joyce Ndalichako
SIMIYU
Bariadi vijijini - Masanja Kadogosa
Meatu-Salum Khamis Salim(Jambo)
Songwe
Tunduma - David Silinde
Credits
Jamiiforums - jukwaa la siasa
Safari ya CCM - Instagram
Clement Sanga - Facebook
Nguchiro - X
Dr Zack - X
Mwanahabari - X
angalia comment ya piliToeni updates
Hakuna wa kuzuia uchaguzi??Subiri utaona!Sasa uchaguzi upo pale pale na hakuna Mbulula yeyote wa kuuzuuia na Chadema inakwenda kupotea mazima.
Hakuna wa kuzuia uchaguzi??Subiri utaona!
Ni lini wataondoa initial za Ndugu na kuweka Mheshimiwa?Tupeane taarifa kuhusu watia nia wa ubunge waliopitishwa kugombea majimbo kwa tiketi ya CCM baada ya kushinda kura za maoni za wajumbe.
Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Kinondoni - Tarimba Abbas
Kivule - Ojambi Masaburi
Ilala - Musa Zungu
Chamazi - Abdallah Chaurembo
Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma (Mwana FA)
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu
Korogwe Vijijini - Timotheo Mzava
Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera
Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara
Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Godwin Oloyce Mollel (Mwanri)
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola
Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu
Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu
Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange
Makete - Festo Sanga
Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan
Morogoro Kusini - Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale)
Lindi
Mchinga - Salma Kikwete (mgombea pekee)
Mtama - Nape Moses Nauye (Jemedari Said)
Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Kyerwa - Khalid Nsekela
Ngara - Abhajumbe Murakoze Cyane
Dodoma
Dodoma Mjini - John Malecela
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai
Kondoa kusini - Mariam Ditopile
Kundoa vijijini - Ashatu Kijaji
IRINGA
Iringa mjini - Fadhili Fabian Ngajilo
Mafinga mjini - Dickson Lutevele
Mufindi Kaskazini - Lukman Mehrab
Mufindi Kusini - David Kihenzile
Pwani
Chalinze - Ridhwan Kikwete (mgombea pekee)
Rufiji - Mohamed Mchengerwa
Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda
TABORA
Nzega - Hussein Bashe
Sikonge - Munde Tambwe
GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko
MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka
KIGOMA
Kigoma Mjini - Kilumbe Shaban Ng'enda
Kasulu Mjini - Joyce Ndalichako
SIMIYU
Bariadi vijijini - Masanja Kadogosa
Meatu-Salum Khamis Salim(Jambo)
Songwe
Tunduma - David Silinde
Credits
Jamiiforums - jukwaa la siasa
Safari ya CCM - Instagram
Clement Sanga - Facebook
Nguchiro - X
Dr Zack - X
Mwanahabari - X
Kama za uchaguzi wa mitaa mwaja jama ziliibiwa vile hadi watu wanne wa chadema wakafa, unategemea za ubunge zitakuwaje?Sasa uchaguzi upo pale pale na hakuna Mbulula yeyote wa kuuzuuia na Chadema inakwenda kupotea mazima.