GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tupeane taarifa kuhusu watia nia wa ubunge waliopitishwa kugombea majimbo kwa tiketi ya CCM baada ya kushinda kura za maoni za wajumbe.

Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Kinondoni - Tarimba Abbas
Kivule - Ojambi Masaburi
Ilala - Musa Zungu
Chamazi - Abdallah Chaurembo

Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma (Mwana FA)
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu
Korogwe Vijijini - Timotheo Mzava

Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera

Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara

Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Godwin Oloyce Mollel (Mwanri)
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola

Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu

Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu

Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange
Makete - Festo Sanga

Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan
Morogoro Kusini - Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale)

Lindi
Mchinga - Salma Kikwete (mgombea pekee)
Mtama - Nape Moses Nauye (Jemedari Said)

Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Kyerwa - Khalid Nsekela
Ngara - Abhajumbe Murakoze Cyane

Dodoma
Dodoma Mjini - John Malecela
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai
Kondoa kusini - Mariam Ditopile
Kundoa vijijini - Ashatu Kijaji

IRINGA
Iringa mjini - Fadhili Fabian Ngajilo
Mafinga mjini - Dickson Lutevele
Mufindi Kaskazini - Lukman Mehrab
Mufindi Kusini - David Kihenzile

Pwani
Chalinze - Ridhwan Kikwete (mgombea pekee)
Rufiji - Mohamed Mchengerwa

Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda

TABORA
Nzega - Hussein Bashe
Sikonge - Munde Tambwe

GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko

MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka

KIGOMA
Kigoma Mjini - Kilumbe Shaban Ng'enda
Kasulu Mjini - Joyce Ndalichako

SIMIYU
Bariadi vijijini - Masanja Kadogosa
Meatu-Salum Khamis Salim(Jambo)

Songwe
Tunduma - David Silinde


















Credits
Jamiiforums - jukwaa la siasa
Safari ya CCM - Instagram
Clement Sanga - Facebook
Nguchiro - X
Dr Zack - X
Mwanahabari - X
Assume hapo CHADEMA chama kubwa lingeshiriki Uchaguzi ukawa wa haki kama kipindi cha nyuma Kuna watu wangezalishwa na vijiko badala ya mikasi
 
Wewe ni mpumbavu,
Nimesema kuna baadhi ya sehemu.
Mathalani majimbo yote ya Uchagani, uhayani, mbeya, kigoma nk huwez kushinda kama sio mzawa.
Kwa akili yako Arusha ni Uchagani
Endelea kujifariji, hamna hiyo jeuri kijana.

Kote huko ulikotaja yeyote anaweza kua mgombea na akashinda vizuri tu. Kuwaweka hao wa kabila moja ni kuweka mzani sawa tu ila sio kua hamna anaeweza kupita kama sio wa huko.

Mfano ni huyo Makonda aliebezwa na watu wa Arusha wengi, kisa sio wa huko ila ndo huyo anapeta, so mpaka hapo yeyote anaweza gombea popote nchi hii. Usikariri na huo ukabila wako wa kishamba.
 
Back
Top Bottom