super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 2,339
- 1,888
Upepo wake umepotelea wapiNamjua Hutu bwana mdogo. Ana upepo sana.
Upepo wake umepotelea wapiNamjua Hutu bwana mdogo. Ana upepo sana.
Chadema wajinga mno.Wangeshiriki hili bunge wangepata viti vingi mno.Samia ni kama Jk ,asingeiba kura za ubunge.CDM wakishiriki watashinda pakubwa sana kwa kitendo cha kurudisha sura ya bunge lilelile lililopita kwa kiasi kikubwa sana ambalo wananchi walipoteza imani nalo kwa kiasi cha
Kashinda.Vipi Msukuma?
TAL anautaka Urais zaidi...Chadema wajinga mno.Wangeshiriki hili bunge wangepata viti vingi mno.Samia ni kama Jk ,asingeiba kura za ubunge.
Kwahiyo Mungu anawatumia Sisiemu kumpitisha lissu katika moto ?.Umeamkaje kuwa simuombei?
Wapo wengi wanamuombea
Na wakati mwingine Mungu aweza kukupitisha kwenye moto kwa sababu maalum.
Kupitia Lissu kuna la kujifunza
Ubinafsi wa TAL wa kuutaka urais at any cost umewacost Chadema.TAL anautaka Urais zaidi...
Yaan hhii taka taka kupita imeniuma sana ,wajumbe wa Siha wametukosea sanaa ,Hunifikii mimi mkuu. Malipo..... Sina imani kama huyo mzee kiduku cha pembeni kama alishawahi kumiliki akili timamu.
Ila aliiba kura za wenyeviti wa vitongojiChadema wajinga mno.Wangeshiriki hili bunge wangepata viti vingi mno.Samia ni kama Jk ,asingeiba kura za ubunge.
Wewe ndiye mjinga unaye fikiria Leo badala ya keshoChadema wajinga mno.Wangeshiriki hili bunge wangepata viti vingi mno.Samia ni kama Jk ,asingeiba kura za ubunge.
Sasa na ww unataka kufananisha wagogo na watu wengine? This people are so stupid !!! Shangaa kijana mwenye afya tele anamsukuma mamake mzazi kweny wheel chair ili waombe mtaani!!Jamaa anapotosha na kusini haijui.
Anadhani kusini ni sawa na Dodoma ambako tangu tumeingia kwenye vyama vingi hawajawahi kutoa mbunge wa upinzani.
Wapuuzi wanajua mkoa unaendeshwa kwa matamasha..!!Wadudu ni wengi sana
Sasa uchaguzi upo pale pale na hakuna Mbulula yeyote wa kuuzuuia na Chadema inakwenda kupotea mazima.Wewe ndiye mjinga unaye fikiria Leo badala ya kesho
Daah!!Wajumbe wenyewe wanapiga kura wakiwa tungi
Una umri gani?Sasa uchaguzi upo pale pale na hakuna Mbulula yeyote wa kuuzuuia na Chadema inakwenda kupotea mazima.
Siyo kwa urahisi unavyozani,angalia wao kwa wao wanavyofanyianaChadema wajinga mno.Wangeshiriki hili bunge wangepata viti vingi mno.Samia ni kama Jk ,asingeiba kura za ubunge.
Kilimanjaro sijaona majina ya Same mashariki,Same magharibi,mwanga na RomboTupeane taarifa kuhusu watia nia wa ubunge waliopitishwa kugombea majimbo kwa tiketi ya CCM baada ya kushinda kura za maoni za wajumbe.
Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Kinondoni - Tarimba Abbas
Kivule - Ojambi Masaburi
Ilala - Musa Zungu
Chamazi - Abdallah Chaurembo
Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma (Mwana FA)
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu
Korogwe Vijijini - Timotheo Mzava
Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera
Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara
Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Godwin Oloyce Mollel (Mwanri)
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola
Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu
Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu
Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange
Makete - Festo Sanga
Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan
Morogoro Kusini - Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale)
Lindi
Mchinga - Salma Kikwete (mgombea pekee)
Mtama - Nape Moses Nauye (Jemedari Said)
Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Kyerwa - Khalid Nsekela
Ngara - Abhajumbe Murakoze Cyane
Dodoma
Dodoma Mjini - John Malecela
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai
Kondoa kusini - Mariam Ditopile
Kundoa vijijini - Ashatu Kijaji
IRINGA
Iringa mjini - Fadhili Fabian Ngajilo
Mafinga mjini - Dickson Lutevele
Mufindi Kaskazini - Lukman Mehrab
Mufindi Kusini - David Kihenzile
Pwani
Chalinze - Ridhwan Kikwete (mgombea pekee)
Rufiji - Mohamed Mchengerwa
Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda
TABORA
Nzega - Hussein Bashe
Sikonge - Munde Tambwe
GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko
MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka
KIGOMA
Kigoma Mjini - Kilumbe Shaban Ng'enda
Kasulu Mjini - Joyce Ndalichako
SIMIYU
Bariadi vijijini - Masanja Kadogosa
Meatu-Salum Khamis Salim(Jambo)
Songwe
Tunduma - David Silinde
Credits
Jamiiforums - jukwaa la siasa
Safari ya CCM - Instagram
Clement Sanga - Facebook
Nguchiro - X
Dr Zack - X
Mwanahabari - X
Ni utaratibu mzuri.Wajumbe siyo watu, mbunge anayetetea jimbo lake amegawa pesa kama zote na zilipokelewa. Mwisho wa siku mwamba ni Joel Arthur Nanauka anasimama kama mgombea.