GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kule ni Mbumbuubu tupu,kwanza vinajua ccm tu ndio chama Nchi hii. Maisha Duni kinoma kipaumbele Uchawi.
Acha uongo wewe mwaka 2015 ulikuwa wapi?
Kusini upinzani walishinda Mtwara mjini, Lindi mjini,Kilwa Kaskazini, Tandahimba, Mtwara vijijini, Ndanda.
Punguza makasiriko, Uchawi upo kila mahali alipo mwafrika.
 
Wewe kwenu wapi ?

Mnakaririshwa sana mambo .

Huko Kusini Cecil Mwambie hakuna mbunge wa ndanda kwa ticket ya CHADEMA? Vip Mzee Suleiman Bwege wa Kilwa alikuwa Bungeni kwa ticket ya CCM au Kilwa ipo Kaskazin?
Jamaa anapotosha na kusini haijui.
Anadhani kusini ni sawa na Dodoma ambako tangu tumeingia kwenye vyama vingi hawajawahi kutoa mbunge wa upinzani.
 
Nani kashinda Jimbo la Bunda?

Naomba washindi wa majimbo yote mawili ya Bunda.
 
Back
Top Bottom