ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Babu Tale anaendeleaje huko kwake?Nape, Makonda Hawa wote wameshinda. Aliyeshindwa ni kikeke tu.
Momba wamezingua sana ,CC imrudishe yule dadaMkoa wa Songwe
Ileje Kasekenya Godfrey
Vwawa Hasunga
Mbozi Onesmo
Tunduma Silinde
Momba Ombeni Nanyaro
Acha kukariri we nyumbu, Majimbo ya Mtwara yapo 10 na ni matatu tu ambayo wabunge wake ndio wamerudi..Kule ni Mbumbuubu tupu,kwanza vinajua ccm tu ndio chama Nchi hii. Maisha Duni kinoma kipaumbele Uchawi.
Aaaaaa wapimtama wamemla kichwa 😁
Mwanamke wa 5Ccm haitoki madarakani abadani HAKUNA NAMNA mapuuuzi yote yanachangia hapa
Chadomo ndio wanaumia 😂😂😂👇👇Ccm haitoki madarakani abadani HAKUNA NAMNA mapuuuzi yote yanachangia hapa
Kadondokea puaVipi baba leo huko kigoma?