GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kupitia uzi huu tutaweka updates za majimbo yote kwa watia nia wa ubunge kupitia CCM walioweza kushinda kura za maoni za wajumbe

Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth

Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu

Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera

Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara

Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Agrey Desile Mwanri
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola

Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu

Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu

Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange

Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan

Lindi
Mtama - Jemedari Said Kazumari

Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Kyerwa - Khalid Nsekela

Dodoma
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai

Pwani
Rufiji - Mohamed Mchengerwa

Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda

TABORA
Nzega - Hussein Bashe

GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko

MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka
Babu Tale naye vipi?
 
1. Jah Pipo kapigwa ngumi ya pua hana hamu kabisa

2. Mwanangu Kikeke kapigwa mtama wa nyuma nyuma mpaka kaomba maji yuko chini hoi

3. Nape Nnauye kapigwa roba ya mbao mchana kweupe hadi miwani yake kaigeuzia upande wa kisogo

4.Rage kapigwa mtama na kichwq mpaka katumbukia kwenye mtaro huko kata ya Kivukoni

5. Stela Ma-tomato kapigwa kelbu mpaka kapoteza fahamu
Nimefurahi Nape kupigwa chini.Goli la mkono limemponyoka au?
 

Attachments

  • IMG-20250804-WA0112.jpg
    IMG-20250804-WA0112.jpg
    53.9 KB · Views: 24
Kupitia uzi huu tutaweka updates za majimbo yote kwa watia nia wa ubunge kupitia CCM walioweza kushinda kura za maoni za wajumbe

Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth

Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu

Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera

Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara

Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Agrey Desile Mwanri
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola

Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu

Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu

Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange

Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan

Lindi
Mtama - Jemedari Said Kazumari

Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Kyerwa - Khalid Nsekela

Dodoma
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai

IRINGA
Iringa mjini - Fadhili Fabian Ngajilo
Mafinga mjini - Dickson Lutevele

Pwani
Rufiji - Mohamed Mchengerwa

Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda

TABORA
Nzega - Hussein Bashe

GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko

MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka
Mikoa ya kusini wajitafakari tena , wabunge wale wale miaka nenda rudi
 
Back
Top Bottom