Hiyo ya Nape ni kweli?1. Jah Pipo kapigwa ngumi ya pua hana hamu kabisa
2. Mwanangu Kikeke kapigwa mtama wa nyuma nyuma mpaka kaomba maji yuko chini hoi
3. Nape Nnauye kapigwa roba ya mbao mchana kweupe hadi miwani yake kaigeuzia upande wa kisogo
4.Rage kapigwa mtama na kichwq mpaka katumbukia kwenye mtaro huko kata ya Kivukoni
5. Stela Ma-tomato kapigwa kelbu mpaka kapoteza fahamu
Kaangushwa eti na bumunda Kazumari?Duuh Ina maana Nape chaliii
Lushoto kuna nani wa ajabu sasa?Vipi lushoto wakuu ?
kutuondolea yule Dr. ShikaKama Agrey Mwanri kapita, Mungu muweza wa yote awabariki sana wajumbe wa Siha
Masanja kadogosa ni bariadi vijijiniGodfrey Timothy Kawe
Masanja Kadogosa Bariadi mjini
Rage aligombea??🤣🤣1. Jah Pipo kapigwa ngumi ya pua hana hamu kabisa
2. Mwanangu Kikeke kapigwa mtama wa nyuma nyuma mpaka kaomba maji yuko chini hoi
3. Nape Nnauye kapigwa roba ya mbao mchana kweupe hadi miwani yake kaigeuzia upande wa kisogo
4.Rage kapigwa mtama na kichwq mpaka katumbukia kwenye mtaro huko kata ya Kivukoni
5. Stela Ma-tomato kapigwa kelbu mpaka kapoteza fahamu
Kishapu nani??Jambo, kapeta meatu
Mbona niliona nape kajipost kashinda1. Jah Pipo kapigwa ngumi ya pua hana hamu kabisa
2. Mwanangu Kikeke kapigwa mtama wa nyuma nyuma mpaka kaomba maji yuko chini hoi
3. Nape Nnauye kapigwa roba ya mbao mchana kweupe hadi miwani yake kaigeuzia upande wa kisogo
4.Rage kapigwa mtama na kichwq mpaka katumbukia kwenye mtaro huko kata ya Kivukoni
5. Stela Ma-tomato kapigwa kelbu mpaka kapoteza fahamu
Samia nae mbona alimsema vibaya Magu, eti alikufa kwa korona na alikuwa hakubaliani na maamuzi yakeLaana ya Magufuli inaendelea kuwatafuna waliomtusi