Nakwambia Mtama hawana bahati! Wametoa kiazi wameweka bumundahyo jemedar wa mtama ndo yule mchambuz wa mchongo au?
Sijui nani alimuambia Kikeke adanganye wachaga eti yeye ni Mchaga wa Mabogini.1. Jah Pipo kapigwa ngumi ya pua hana hamu kabisa
2. Mwanangu Kikeke kapigwa mtama wa nyuma nyuma mpaka kaomba maji yuko chini hoi
3. Nape Nnauye kapigwa roba ya mbao mchana kweupe hadi miwani yake kaigeuzia upande wa kisogo
4.Rage kapigwa mtama na kichwq mpaka katumbukia kwenye mtaro huko kata ya Kivukoni
5. Stela Ma-tomato kapigwa kelbu mpaka kapoteza fahamu
Same hereMi nimefurahi Siha .... Mollel ni mwehu...
labda upite njia pandaNa.mimi nimepita!
Hapana kashinda Napemtama wamemla kichwa 😁
Nilipoona Mtama umeandika Jemedari Saidi, nikajua kabisa umeamua kuandika UONGOKupitia uzi huu tutaweka updates za majimbo yote kwa watia nia wa ubunge kupitia CCM walioweza kushinda kura za maoni za wajumbe
Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu
Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera
Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara
Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Agrey Desile Mwanri
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola
Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu
Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu
Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange
Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan
Lindi
Mtama - Jemedari Said Kazumari
Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Dodoma
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai
Pwani
Rufiji - Mohamed Mchengerwa
Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda
TABORA
Nzega - Hussein Bashe
GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko
MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka
Taarifa ni ya uongo kabisa, sijui mods wapo wapi.Ina maana Nape nae chałI Mtama, kurudishwa kwa jina lake walikuwa wanampa ‘ndoto za mchana’ tu.
au tuseme wametoa takataka wakaweka uchafu.Nakwambia Mtama hawana bahati! Wametoa kiazi wameweka bumunda
Hilo jukwaa lishavamiwa, huyu aliyewwka thread kaandika uongo. Nape kashinda tena kwa gap kubwa, huyo jemedari kawa wa mwisho kabisaKashindwa kufunga goli la mkono kwa wajumbe?
Utapeli mtupu.Kupitia uzi huu tutaweka updates za majimbo yote kwa watia nia wa ubunge kupitia CCM walioweza kushinda kura za maoni za wajumbe
Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu
Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera
Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara
Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Agrey Desile Mwanri
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola
Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu
Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu
Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange
Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan
Lindi
Mtama - Jemedari Said Kazumari
Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Kyerwa - Khalid Nsekela
Dodoma
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai
Pwani
Rufiji - Mohamed Mchengerwa
Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda
TABORA
Nzega - Hussein Bashe
GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko
MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka
Wajumbe sio watu wazuri1. Jah Pipo kapigwa ngumi ya pua hana hamu kabisa
2. Mwanangu Kikeke kapigwa mtama wa nyuma nyuma mpaka kaomba maji yuko chini hoi
3. Nape Nnauye kapigwa roba ya mbao mchana kweupe hadi miwani yake kaigeuzia upande wa kisogo
4.Rage kapigwa mtama na kichwq mpaka katumbukia kwenye mtaro huko kata ya Kivukoni
5. Stela Ma-tomato kapigwa kelbu mpaka kapoteza fahamu
Pumbavu zao acha laana iendelee kuwatafuna na badoLaana ya Magufuli inaendelea kuwatafuna waliomtusi
Hv lau kego masha anagombea wap? wampe tu maana jamaa mpaka kwenda kwa kiboko ya wachawi si mchezo.Tunaomba update za Nyamagana na Ilemela pls,,
No reforms no election.