Smart Dude
JF-Expert Member
- Sep 23, 2023
- 553
- 644
NdiyoNanauka Kashinda?
NdiyoNanauka Kashinda?
Apumzike tuUdiwani kura hazijatosha
NApe pamoja na kuwatembelea masikin na kukaa chini lakin hawamwelewa1. Jah Pipo kapigwa ngumi ya pua hana hamu kabisa
2. Mwanangu Kikeke kapigwa mtama wa nyuma nyuma mpaka kaomba maji yuko chini hoi
3. Nape Nnauye kapigwa roba ya mbao mchana kweupe hadi miwani yake kaigeuzia upande wa kisogo
4.Rage kapigwa mtama na kichwq mpaka katumbukia kwenye mtaro huko kata ya Kivukoni
5. Stela Ma-tomato kapigwa kelbu mpaka kapoteza fahamu
Nape kashindaNApe pamoja na kuwatembelea masikin na kukaa chini lakin hawamwelewa
imbo la Mtama, na Jemedari Said kazumari MCHAMBUZI WA MICHONGO 😄😄 naye ni hapohapo MtamaNape anagombea jimbo gani? Naon hapo kama vile Jemedari Said ndio amepitishwa.
AtateuliwaMi nimefurahi Siha .... Mollel ni mwehu...
Nape, Makonda Hawa wote wameshinda. Aliyeshindwa ni kikeke tu.Nimefurahi Nape kupigwa chini.Goli la mkono limemponyoka au?
Liko tanzania kweli hili jimbo au umemtaja mwenyekiti wa kijiji chenuOngeza hao Manjagata Manjagata jimbo la Itwangi!
Kuna jamaa huko anaitwa Deusdedith katwale kapitaChato Kusini je?
Kashindwa kufunga goli la mkono kwa wajumbe?
View: https://youtu.be/bsMYAk6cWaE?si=ONPB1UVtf_nmU5qW
Alijiita mjanja wa uchaguzi na kusema matokeo ya kura hayaamuliwi mwenye sanduku bali anayetangaza na kuhesabu.
View: https://youtu.be/bsMYAk6cWaE?si=ONPB1UVtf_nmU5qW
Alijiita mjanja wa uchaguzi na kusema matokeo ya kura hayaamuliwi mwenye sanduku bali anayetangaza na kuhesabu.
Huyu ni mjinga na limwili lake kama fuko la takaEnock Kiswaga pamoja na kutamba kote kule chaliiii!!!!
Politics is not for weak people.
Huyu hata akipita ni aina ya wajinga waliomo kwenye mfumo na wanatakiwa kuwekwa pembeni.Mbona wanasema kapeta?
Nape kashinda kwa kura nyingi, huyo jemedari kawa wa mwisho.Mbona wanasema kapeta?