Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
mtoa mada anatupa pdf ya namna gani sasaHapana kashinda Nape
mtoa mada anatupa pdf ya namna gani sasaHapana kashinda Nape
Basi hao wajumbe wana matatizo sana huyu mtu kwa kauli hiyo hawaoni ni tatizo?Mkuu hebu tulizeni akili. Nape kashinda. Huyu aliyeweka thread kaandika uongo
Hayo ni mengine, mimi nilichohitaji ni taarifa kutolewa ya kweli. Mimi nilitamani pia nape ashindwe, lakini kwa kuwa kashinda basi tuseme ukweli kashindaBasi hao wajumbe wana matatizo sana huyu mtu kwa kauli hiyo hawaoni ni tatizo?
Makonda ni mzawa eeeh??Sijui nani alimuambia kikeke adanganye wachaga eti yeye ni mchaga wa Mabogini.
Kuna sehemu ambazo kama ww sio mzawa huwezi kupenya hata uhonge vipi
Baba Levo kaliwa kichwa!🤣🤣🫵1. Jah Pipo kapigwa ngumi ya pua hana hamu kabisa
2. Mwanangu Kikeke kapigwa mtama wa nyuma nyuma mpaka kaomba maji yuko chini hoi
3.Rage kapigwa mtama na kichwq mpaka katumbukia kwenye mtaro huko kata ya Kivukoni
4. Stela Ma-tomato kapigwa kelbu mpaka kapoteza fahamu
Sahapo si hakuna haja ya uchaguzi tena maana Hao wote wanaenda kuwa wabungeKupitia uzi huu tutaweka updates za majimbo yote kwa watia nia wa ubunge kupitia CCM walioweza kushinda kura za maoni za wajumbe
Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu
Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera
Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara
Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Agrey Desile Mwanri
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola
Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu
Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu
Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange
Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan
Lindi
Mtama - Nape Moses Nauye (Ilikosewa kuandika Jemedari Said)
Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Kyerwa - Khalid Nsekela
Dodoma
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai
IRINGA
Iringa mjini - Fadhili Fabian Ngajilo
Mafinga mjini - Dickson Lutevele
Mufindi Kaskazini - Lukman Mehrab
Pwani
Rufiji - Mohamed Mchengerwa
Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda
TABORA
Nzega - Hussein Bashe
GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko
MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka
KIGOMA
Kigoma Mjini - Kilumbe Shaban Ng'enda
Mkuu habar za miaka tele?!!Aiseeeeeee
Hapa unatupiga sound bro.1. Jah Pipo kapigwa ngumi ya pua hana hamu kabisa
2. Mwanangu Kikeke kapigwa mtama wa nyuma nyuma mpaka kaomba maji yuko chini hoi
3.Rage kapigwa mtama na kichwq mpaka katumbukia kwenye mtaro huko kata ya Kivukoni
4. Stela Ma-tomato kapigwa kelbu mpaka kapoteza fahamu
SimiyuKupitia uzi huu tutaweka updates za majimbo yote kwa watia nia wa ubunge kupitia CCM walioweza kushinda kura za maoni za wajumbe
Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu
Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera
Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara
Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Agrey Desile Mwanri
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola
Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu
Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu
Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange
Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan
Lindi
Mtama - Nape Moses Nauye (Ilikosewa kuandika Jemedari Said)
Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Kyerwa - Khalid Nsekela
Dodoma
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai
IRINGA
Iringa mjini - Fadhili Fabian Ngajilo
Mafinga mjini - Dickson Lutevele
Mufindi Kaskazini - Lukman Mehrab
Mufindi Kusini - David Kihenzile
Pwani
Rufiji - Mohamed Mchengerwa
Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda
TABORA
Nzega - Hussein Bashe
GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko
MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka
KIGOMA
Kigoma Mjini - Kilumbe Shaban Ng'enda
Hunifikii mimi mkuu. Malipo..... Sina imani kama huyo mzee kiduku cha pembeni kama alishawahi kumiliki akili timamu.Mi nimefurahi Siha .... Mollel ni mwehu...
Unaomba updates za election, hapo hapo unasema no reform. Hatari sanaTunaomba update za Nyamagana na Ilemela pls,,
No reforms no election.
Namjua Hutu bwana mdogo. Ana upepo sana.Enock Kiswaga pamoja na kutamba kote kule chaliiii!!!!
Politics is not for weak people.