GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huu ndio ukweli na CCM hapa wamempa Zito ushindi wa Bure.

Wangeshibda Hilo Jimbo kama Baba Levo angekuwa mgombea.

Ila ndio Michezo ya CCM , nadhani CC inaweza mkata huyo mahindi.

Bila ya Baba levo CCM hawawezi lichallenge lili jimbo, Unless waje na matokeo mfukoni.
 
Kupitia uzi huu tutaweka updates za majimbo yote kwa watia nia wa ubunge kupitia CCM walioweza kushinda kura za maoni za wajumbe

Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Kinondoni - Tarimba Abbas
Kivule - Ojambi Masaburi
Ilala - Musa Zungu

Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma (Mwana FA)
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu
Korogwe Vijijini - Timotheo Mzava

Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera

Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara

Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Godwin Oloyce Mollel (Mwanri)
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola

Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu

Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu

Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange
Makete - Festo Sanga

Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan
Morogoro Kusini - Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale)

Lindi
Mchinga - Salma Kikwete (mgombea pekee)
Mtama - Nape Moses Nauye (Jemedari Said)

Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Kyerwa - Khalid Nsekela
Ngara - Abhajumbe Murakoze Cyane

Dodoma
Dodoma Mjini - John Malecela
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai
Kondoa kusini - Mariam Ditopile
Kundoa vijijini - Ashatu Kijaji

IRINGA
Iringa mjini - Fadhili Fabian Ngajilo
Mafinga mjini - Dickson Lutevele
Mufindi Kaskazini - Lukman Mehrab
Mufindi Kusini - David Kihenzile

Pwani
Chalinze - Ridhwan Kikwete (mgombea pekee)
Rufiji - Mohamed Mchengerwa

Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda

TABORA
Nzega - Hussein Bashe
Sikonge - Munde Tambwe

GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko

MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka

KIGOMA
Kigoma Mjini - Kilumbe Shaban Ng'enda
Kasulu Mjini - Joyce Ndalichako

SIMIYU
Bariadi vijijini - Masanja Kadogosa
Meatu-Salum Khamis Salim(Jambo)

Songwe
Tunduma - David Silinde
View attachment 3431477View attachment 3431478View attachment 3431479View attachment 3431480View attachment 3431481View attachment 3431482

Hakuna sababu ya kufanya uchaguzi mara mbili. Wananchi tayari washaamua kuwa hawadhiriki huu uchaguxi. CCM na INEC wanatupotezea muda tu.
 
Mikoa ya kusini wajitafakari tena , wabunge wale wale miaka nenda rudi
Mbona huko Kaskazini Molell na Ummy bado mko nao?.
Na huko Kaskazini kama Halmashauri kuu ya CCM ingeliachia jina la mkongwe Ole Sendeka wajumbe lazima wangempitisha.
Hii ipo kila mahali mkuu.
Angalia Morogoro mjini, Ilala, Segerea, Kibakwe nk
 
Kupitia uzi huu tutaweka updates za majimbo yote kwa watia nia wa ubunge kupitia CCM walioweza kushinda kura za maoni za wajumbe

Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Kinondoni - Tarimba Abbas
Kivule - Ojambi Masaburi
Ilala - Musa Zungu

Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma (Mwana FA)
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu
Korogwe Vijijini - Timotheo Mzava

Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera

Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara

Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Godwin Oloyce Mollel (Mwanri)
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola

Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu

Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu

Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange
Makete - Festo Sanga

Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan
Morogoro Kusini - Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale)

Lindi
Mchinga - Salma Kikwete (mgombea pekee)
Mtama - Nape Moses Nauye (Jemedari Said)

Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Kyerwa - Khalid Nsekela
Ngara - Abhajumbe Murakoze Cyane

Dodoma
Dodoma Mjini - John Malecela
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai
Kondoa kusini - Mariam Ditopile
Kundoa vijijini - Ashatu Kijaji

IRINGA
Iringa mjini - Fadhili Fabian Ngajilo
Mafinga mjini - Dickson Lutevele
Mufindi Kaskazini - Lukman Mehrab
Mufindi Kusini - David Kihenzile

Pwani
Chalinze - Ridhwan Kikwete (mgombea pekee)
Rufiji - Mohamed Mchengerwa

Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda

TABORA
Nzega - Hussein Bashe
Sikonge - Munde Tambwe

GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko

MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka

KIGOMA
Kigoma Mjini - Kilumbe Shaban Ng'enda
Kasulu Mjini - Joyce Ndalichako

SIMIYU
Bariadi vijijini - Masanja Kadogosa
Meatu-Salum Khamis Salim(Jambo)

Songwe
Tunduma - David Silinde
View attachment 3431477View attachment 3431478View attachment 3431479View attachment 3431480View attachment 3431481View attachment 3431482
Jimbo la Ngara badala ya kuandika jina la aliyepitishwa kuwania ubunge wewe umeandika kwa kihangaza "Wajumbe asanteni sana (Abhajumbe murakoze chane ) " sasa ndio tuelewe nini?!
 
Wewe kwenu wapi ?

Mnakaririshwa sana mambo .

Huko Kusini Cecil Mwambie hakuna mbunge wa ndanda kwa ticket ya CHADEMA? Vip Mzee Suleiman Bwege wa Kilwa alikuwa Bungeni kwa ticket ya CCM au Kilwa ipo Kaskazin?
Mmezoea kubishana migundinii sitawaweza,ila ukweli ndio huo. We unafikili daraja la Somanga ingekua barabara ya Dar Mwanza lingekaa miaka miwili bila kukamilika..et hiyo yote hakuna mtu wa kuwapa changamoto ccm huko.
 
Bi kizimkazi anaweza pindua meza, kama Mzee magu alivyofanya Kwa mwana fa kule tanga
Si wameshakaa vikao vya aina hiyo walimkata Byabato, Gambo, Makamba na wengine, wakiwakata hawa waliopitishwa na wajumbe itakuwa uonevu.
 
Back
Top Bottom