DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Arusha wajinga sana na hii inaonesha wazi kuwa bangi haifai.
Kadondokea pua
Yaani pamoja na kutetea swine lakini wamempiga za uso😂1. Jah Pipo kapigwa ngumi ya pua hana hamu kabisa
2. Mwanangu Kikeke kapigwa mtama wa nyuma nyuma mpaka kaomba maji yuko chini hoi
3.Rage kapigwa mtama na kichwq mpaka katumbukia kwenye mtaro huko kata ya Kivukoni
4. Stela Ma-tomato kapigwa kelbu mpaka kapoteza fahamu
Ni kama unamchukia makonda. Hafai kuwa mbunge ama?Arusha wajinga sana na hii inaonesha wazi kuwa bangi haifai.
Mkoa wa punguani 🤣🤣Arusha wajinga sana na hii inaonesha wazi kuwa bangi haifai.
Kwani una agenda gani mzee?Wa 3 huyu
Alieliwa kichwa Mtama nani?mtama wamemla kichwa 😁
Mkuu hapa chini unasimamia NRNE,Tunaomba update za Nyamagana na Ilemela pls,,
No reforms no election.
Wadudu ni wengi sanaArusha wametuhakikishia walivyo wajinga 😹