GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jesca nafikiri malingo yamemuangusha . Kaanguka vibaya mno sikutegemea. Hata watu tuliotoka nae mbali alishindwa kutushika mkono
Yaonyesha alikuwa mbali na wajumbe mpaka wapiga kura wake.
Kiburi na dharau, hata nusu ya kura hakupata.
 
Hakuna kipya kile kile hawa wajumbe wa ccm wajinga most hawana shule na maisha yao magumu sana Wamepokea Rushwa sana ndio maana majina yalio rudi ni yale yale ya wabunge walio shindwa kufanya jambo lolote halafu leo wanarudi du Hakika CCM chama kimechoka sana natamani kungekuwepo ukomo wa wabunge maaana naona RUSHWA NDIO INAYOAMUA kiongozi wa ccm
 
Back
Top Bottom