Naomba uziweke hapa au unitumie inbox mkuuMkuu ni kweli, kwa mfano Kyela na Tukuyu/Rungwe ni ngumu kushinda wakuja maana kuna mtu ananadi kampeni kwa kinyakyusa yaani unaona kabisa kuna ukabila hapa...
japo nimeondoka kule miaka mingi lakini wanyakyusa mambo kama ya Arusha utoke huko uchukue jimbo ni ngumu...... nina clips hapa za uchaguzi wa Rungwe na Kyela yaani ni kinyakyusa watu hawajui kama kuna kiswahili.
Huna akili kabisa wewe. Kama uenyekiti wa vitongoji na vijiji kaua watu ili kudhibiti wapinzani sembuse ubunge na udiwani. Kumbuka hao wenyeviti hawalipwi chochote, hao wabunge wanalipwa 18M kwa mwezi. Nina mashaka wewe hazikutoshi, waache CDM wafanye wanayoyaona yanafaa kwa mustakabali wa chama chao. Halafu hiyo huruma wewe umetoa wapi? Wanafiki bwanaa🥺🥺🥺🥺🥺Chadema wajinga mno.Wangeshiriki hili bunge wangepata viti vingi mno.Samia ni kama Jk ,asingeiba kura za ubunge.
Kwa hiyo kuna Ukabila?Sijui nani alimuambia Kikeke adanganye wachaga eti yeye ni Mchaga wa Mabogini.
Kuna sehemu ambazo kama ww sio mzawa huwezi kupenya hata uhonge vipi
Simiyu ni jimbo? 😳😳😳Mwenye hili jimbo analitendea haki sana wakimkata duh nitashangaa sana mimi
R.I.P MUNDEMunde yuko peace Sana japo kafoji elimu