Pedeshee maarufu kumuoa mtangazaji wa kiume

Msitusahau katika ufalme wa umbea kizuri kula na wenzako

Ndo namsubir Madame B aniletee ubuyu maana nimemsubir chemba naona kimya, nimedodaje, ngoja tumsubir labda anaandaa ubuyu mzito
 
Last edited by a moderator:

mkuu B na D znachanganya saana nadhan ulimaanisha anaanzia na heruf D,hahah
 
Binamu yangu, yaani nina bonge la umbea mpaka najishangaa.
Sijui nikufate chemba au niumwage hapa!!!!!!
Hahahahaha.....mjini rareeeeeeee.
Kha, mpaka naona aibu jamani.

Binami jana ndo nini kuniacha kwenye mataa mwenzio? Nimesubir chemba na umbea wangu nimeaibikaje
 
Namii nakusubirii binamuuu hata sikuoniii loooo nimeaibikajeee

Halafu si unajua inavyosisimua pale mtu anapokwambia ana umbea mzito? Yani mwili wote unasisimka mbili haikai wala tatu, mmh nyie binamu acheni masihara umbea mtamu bhana, mimi apa Madame B hadi kieleweke leo bhana
 
Last edited by a moderator:
Halafu si unajua inavyosisimua pale mtu anapokwambia ana umbea mzito? Yani mwili wote unasisimka mbili haikai wala tatu, mmh nyie binamu acheni masihara umbea mtamu bhana, mimi apa Madame B hadi kieleweke leo bhana

jamani msinisahau kwenye umbea tafadhali nawaombeni!
 
Last edited by a moderator:
jamani msinisahau kwenye umbea tafadhali nawaombeni!

Mbona usihofu binamu, apa tunamsubir source wetu Madam B, maana uo umbea ukishatua kwanza lazima niweke nazi,sukar,chumvi na pilipili mbona mtalia kwa utamu??
 
Last edited by a moderator:
Muuza Sura hebu tia ubani hapa kama hii habari inaukweli lazima utakuwa unajuwa.
sijaipata hii bab!wacha nichekeche kwa wana kama ina ukweli maana personally naweza kuwa bias..si unajua kinyaiya mwana flani japo siyo kivile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…