Pedeshee maarufu kumuoa mtangazaji wa kiume

Pedeshee maarufu kumuoa mtangazaji wa kiume

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Nyie mapedeshee nyie sijui mnaojiita pembe la ng'ombe, mara papaa nini sijui mnajua wenyewe na mabalaa yenu uko, maana kwa kupenda sifa za kijinga hamjambo , majina yote yenu apa mjini. Mmetudhalilishia Dada zetu sana, japokuwa na wenyewe wana tamaa, mmewaaribu si mbele wala nyuma hawatamaniki, mmewachezea wee na kuwarubuni na vijumba vya mil 400 na magar badae mnawapokonya na kuwadhalilisha na kuwaacha wameshaoza.

Sasa ivi mmehamia sasa kwa wasanii na vijana wa kiume, ivi nyie wazee hamnaga vijana wa kiume uko majumbani kwenu? Mtajisikiaje mkisikia vijana wenu wanafanywa vibaya kama mnavyofanya watoto wa watu? Hata kama wana tamaa nyie si baba zao kabisa kama sio mababu?, mnawarubuni wasanii mnawapa magar mnawachokonoa wee mkiwachoka mnawapokonya.

STORY KAMILI

Kuna pedeshee mmoja maarufu tu apa mjini (jina kapuni kwa sasa) anapenda sana kuhudhuria kwenye ma club na kumwaga pesa hovyo, mweusi wa wastani ana mwili mkubwa na kitambi cha wastani. Huyo pedeshee sasa nasikia anataka kumuoa kabisa na kumuweka ndani mtangazaji maarufu apa bongo, yaani unaambiwa jamaa kashatuma watu na kuwapa laki tano kila mmoja ili wafanikishe hilo zoezi la kumpata mke huyo mtarajiwa anayemtaka.

Na huyo mtangazaji kashahaidiwa million 5 kama tu atakubali ombi la pedeshee huyo kumuweka ndani kama mkewe, sasa haijajulikana hiyo mil 5 anampa kama mahali au njia ya kumshawishi akubali kuolewa. Mtangazaji mwenyewe jina lake linaanzia na herufi B, ana urefu wa wastani, ni smart sana halafu ni mweupe na akitangaza ana mbwembwe na bashasha nyingi , huwezi kuboreka kumsikiliza na alishawahi kuhusishwa sana na scandal ya ushoga.
 
Makubwa madogo yana nafuu na huyo mtangazaji ataolewa tu na mwanaume mwenzio cjui hawaoni aibu pia wapenda maisha ya juu lazma akamatike life la show of mchezo
 
Duh hii hatari binamu tutajie kwa PM
 
logo2.png
 
umbea bila majina kamili hata haunogi

Binamu si unajua boko haramu hawacheleweshi kufanya mambo yao? Huyo mtangazaji jina linaanzia na herufi B, ni mweupe na mtanashati sana na anapenda kujiremba sana bado hujamjua binamu? Acha utani aiseeh
 
babu chondo umepata.
Nenda pale mitaa ya T, Manyanya utawakuta.
mmoja wa wapambe wake ni Uncle P.
 
Nani wanaanza na B?
Ben Kinyaiya
B12
Hebu tajeni kwanza wanaoanza na B
 
Makubwa madogo yana nafuu na huyo mtangazaji ataolewa tu na mwanaume mwenzio cjui hawaoni aibu pia wapenda maisha ya juu lazma akamatike life la show of mchezo

Kila siku akina mama ubaya wanalilia kuolewa, wenzao ndo washapata wa kuwaoa tena na hela juu milion 5, wakat watu wanatamani hata kuolewa bure hawapati wa kuwaoa, hii dunia hii , na hawa mapedeshee wee waache tu
 
Huo umbea sasa I'd yako hakuna anayekufahamu sasa unashindwa nini kutaja jina la uyo Pedeshee na uyo mtangazaji???? Hacha umbea

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Utanisamehe binamu, umbea siachi ng'o labda kama una lingine
 
Nani wanaanza na B?
Ben Kinyaiya
B12
Hebu tajeni kwanza wanaoanza na B

Wote watangazaji, wote watanashati na wote majina yao yanaanzia na herufu B
 
Back
Top Bottom