warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Nyie mapedeshee nyie sijui mnaojiita pembe la ng'ombe, mara papaa nini sijui mnajua wenyewe na mabalaa yenu uko, maana kwa kupenda sifa za kijinga hamjambo , majina yote yenu apa mjini. Mmetudhalilishia Dada zetu sana, japokuwa na wenyewe wana tamaa, mmewaaribu si mbele wala nyuma hawatamaniki, mmewachezea wee na kuwarubuni na vijumba vya mil 400 na magar badae mnawapokonya na kuwadhalilisha na kuwaacha wameshaoza.
Sasa ivi mmehamia sasa kwa wasanii na vijana wa kiume, ivi nyie wazee hamnaga vijana wa kiume uko majumbani kwenu? Mtajisikiaje mkisikia vijana wenu wanafanywa vibaya kama mnavyofanya watoto wa watu? Hata kama wana tamaa nyie si baba zao kabisa kama sio mababu?, mnawarubuni wasanii mnawapa magar mnawachokonoa wee mkiwachoka mnawapokonya.
STORY KAMILI
Kuna pedeshee mmoja maarufu tu apa mjini (jina kapuni kwa sasa) anapenda sana kuhudhuria kwenye ma club na kumwaga pesa hovyo, mweusi wa wastani ana mwili mkubwa na kitambi cha wastani. Huyo pedeshee sasa nasikia anataka kumuoa kabisa na kumuweka ndani mtangazaji maarufu apa bongo, yaani unaambiwa jamaa kashatuma watu na kuwapa laki tano kila mmoja ili wafanikishe hilo zoezi la kumpata mke huyo mtarajiwa anayemtaka.
Na huyo mtangazaji kashahaidiwa million 5 kama tu atakubali ombi la pedeshee huyo kumuweka ndani kama mkewe, sasa haijajulikana hiyo mil 5 anampa kama mahali au njia ya kumshawishi akubali kuolewa. Mtangazaji mwenyewe jina lake linaanzia na herufi B, ana urefu wa wastani, ni smart sana halafu ni mweupe na akitangaza ana mbwembwe na bashasha nyingi , huwezi kuboreka kumsikiliza na alishawahi kuhusishwa sana na scandal ya ushoga.